Ni sharti gani ambalo mganga alikupatia na ukashindwa au kukataa kuendelea nalo

Alinambia nimpige mashine siku 3 mfululizo nikiangalia umri wake kanizidi miaka ka 20 hv
 
Kuna rafiki yangu mmoja baada ya kuona rafiki yake amepanda vyeo haraka haraka naye akataka kupanda vyeo haraka haraka kama rafiki yake,alipomuuliza rafiki yake siri ya kupanda vyeo haraka haraka rafiki yake akamwambia kuwa yeye ana mganga wake ambaye huwa anamtumia kupanda vyeo na kama atakuwa tayari aseme ili nayeye apelekwe kwa mganga huyo.

Siku ya siku rafiki yangu alipelekwa kwa mganga kutafuta cheo,mganga mwenyewe alikuwa ni bibi,mganga alimwambia kuwa kama atatimiza masharti yake atamtengenezea dawa na vyeo vitakuwa vinashuka kama maji kama vinavyo shuka kwa rafiki yake,rafiki yangu akasema yuko tayari kwakuwa ndicho alichofuata.

Mganga akasema sasa kalete mabeseni 2 mapya na kuku mmoja mweupe,jamaa haraka haraka kuku na mabeseni2 haya hapa,mganga akasema sasa jaza maji kwenye mabeseni haya yote 2 halafu mlete huyo kuku pamoja na kisu tumuchinje huyo kuku,wewe utashika kichwa na mimi nitashika sehemu ya miguuni halafu nita mchinja kuku,wakati wa kuchinjwa kuku atakatizwa katikati ya beseni upande wa miguu upande huu na sehemu ya kichwa upande wa pill,wewe utakuwa upa nde wa pili na mimi upande wa kwanza,baada ya kumchinja,damu ya kuku ilichuruzikia ndani ya beseni maji yakawa damu tupu.

Mganga akasema hivi umeona kilichotokea,rafiki akasema ndio baada ya kuchinja kuku damu imechuruzikia ndani ya maji yamegeuka damu.

Mganga akasema sawa kabisa,sasa ili nianze kazi ya kukupandisha vyeo kama maji,hili beseni la pili umeliona ndiyo mganga,lina nini?rafiki yangu lina maji,mganga hayo maji yana nini? Rafiki yangu hayana kitu,mganga sawa kabisa.

Sasa ninataka haya maji kwenye beseni nayo yageuke kuwa damu kama beseni la kwanza na mwenyekuyageuza ni we we,uko tayari?rafiki yangu Niko tayari.

Mganga haya kamata rungu hili kuna kitu kitatokea ndani ya maji kitakapoibuka tu,we we biga kichwa kitakapopasuka damu yake itayageuza maji kuwa damu kama beseni la kwanza,angalizo ni kwamba kichwa kitakapopasuka na chenyewe kiliko kitakuwa kimekufa halafu nitakutengenezea dawa ya kupanfishwa vyeo kama maji.

Rafiki yangu akiwa ameshikilia rungu la mganga huku akiwa amekodolea macho ndani ya beseni,akisubiri kitu kitokee ili akibomoe kichwa,Mara papuu kichwa cha mama yake mzazi hicho kikaibuka ndani ya beseni la maji,rafiki yangu kuona hivyo alitupa rungu la mganga na kutimua mbio.
 
Story Yako ni ya kweli kabisa ila utakuwa mhusika kwenye hili tukio aidha wewe ndo mganga,rafiki mwenye cheo au uliyshidwa masharti maana mtu siyo rahisi kukusimulia mambo mazito kiasi hiki.
 
Nikipita katikati ya daraja kila nitakae kutana nae nipishane nae mkono wa kushoto na yale makingio ya daraja(balcons) nisiziguse na nisifanyie mapenzi vichakani kwa mda wa miezi 3😄
Uliweza kuvumilia hilo la kufanya mapenzi vichakani mkuu..😁😁😁😁

Najua hukuweza kuvumilia its oky blood
 
Mimi leo tasema yote Leo...
Yaani leo tatoa ya moyoni wakuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😁😁😁😁😁
Picha linaanza mnayajua maji ya GODOGODO nyie...?
 
Ati mimi na yeye pamoja na viajuza vyenzake sita tukakae uchi kwenye makutano ya barabara kuu hapa Misungwi tena mchana kweupe huku magari yanapita kwa kisingizio kwamba hakuna atakayetuona; na magari yatakuwa yanatupita tu bila kutukanyaga nikasema haloooo!

Msione watu wa huku machimboni wana hela wanasukuma Fortuner mpya zero kilometer mkafikiri mchezo. Watu wamepitia mengi sana japo hawasemi. Ndiyo maana hata kufilisika na kufa kwao ni kugusa tu hasa wakikosea masharti.

Tangu siku hiyo niliamua kujikita kwenye kilimo cha nyanya na dengu. Mambo ya kwenda kukalishana uchi njia panda tena barabara kuu huku malori yakipita full speed tena mchana kweupe hapana aisee! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom