Ni shemeji yangu kabisa..

Ni shemeji yangu kabisa..

Huyo shemeji yako nadhani hana akili sawa sawa.
 
Itabidi uhave a long chat with ur shemeji; ila kwa mtazamo wangu huyo shemeji yako hana adabu wala heshima.

Hasante sana, ila katika mtu ambaye sikuwahi kumhisi ni yeye... yaani tunaheshimiana sana.. bado nafikiria what is not happening.
 
Kilichokuchekesha?
OTIS

Oti.. yaani sikujua nafanya nini.. nilicheka kwa shock ni kitu ambacho sikutegemea. Ni mtu ambaye hata wazee home wanaeshimiana sana...
 
jombaaa....katika aina za zereu....hii ni moja ya namba za juu......
Aisee Pretaaa yaani hii kitu sikutegemea... nianguke kwa Kadio Aresti. Nimepanga kuanza uchunguzi kuanzia jumamosi.
 
Huyo haitaki tena ndoa na Dada yako, ameamua kukuonyesha waziwazi. Inawezekana ana pesa na mnamtegemea sana ndio maana kadiriki kukufanyia dharau kubwa kiasi hicho. Pia inawezekana anajua madhambi yako mengi unayofanya kwa hiyo anaona hilo analolifanya ni dogo kulinganisha na yakwako.

Ndetiii yaaani hamna kitu kama hiyo. Tena sisi tuko vizuri kuliko kwao wote... kitu kinachomfanya akubalike kwetu ni heshima alyojijengea kwa familia yetu... hata sasa nikimuambia ndugu yangu yeyote hawezi kuniamini.
 
kweli amewachoka

Mambo smile... yaani siwezi kuconclude kama ametuchoka maana huyu bwana huwezi mzania, haijawai kutokea akamkosea adabu mtu yeyote kwetu... mpaka nahisi labda kuna jambo sister kamfanyia.. au.. its complicated kwa kweli.
 
Uchunguzi gani tena jamaaa.
OTIS

Nahisi kama kuna kitu labda sister kamfania.. maana hii ishu huwezi kurupuka... unaweza kuta mke wake ndo amemuanza.... au kamfumania. Kwao ni bahari beach nitaenda jumamosi.
 
Itakuwaje dada yako akija pata taarifa toka chanzo chochote kile kuwa wewe nduguye wa damu ni mojawapo kati ya wanaomkuadia mumewe kwa wanawake wengine?

Leo ukipata malalamiko toka kwa dada yako kuwa shemeji haachi fedha ya matumuzi nyumbani na badala yake anatumbua na vimada wake utajisikiaje wakati na wewe beer ulikunywa?

Tahadhari fanya maamuzi chukua hatua stahiki



Haki mapenziiiiiiiiiiiii, ti! ti!
 
Hasante sana, ila katika mtu ambaye sikuwahi kumhisi ni yeye... yaani tunaheshimiana sana.. bado nafikiria what is not happening.

Respect, faithfulness n love is not happening!
Wadau wamesema mengi, ila mconfront muulize why while looking him into his eyes! Na wala usimpe hizi za kwanini unafanya mbele yangu, muulize "kwanini unafanya hivi?"!

Uwe strong for ur sister's sake. Majibu yake ndiyo yatakayokupa direction ya kufuata baadaye; ushauri wangu ni kumshirikisha kiongozi wa dini (haina haja ya kumjulisha dada yako). Huyo padre/Mchungaji/Shekh atajua cha kufanya!
 
Naona hakupaswa kujijumuisha humo kwamba wote tukacheka, angesema wao walicheka, mimi nikajichekesha.

Yeah i think hiyo ingeweza kumake sence. Ila kwa ile shock huwezi kujua mpaka baadae ukae utafakari picture nzima.
 
dada huyooooooo ameolewaaaaaa maaaaali ishatolewaaaaa dada hyooo mambo ya kukaa kwa shemeji zenu hyo mwishowe zereuuuuuuuuu
 
Nahisi kama kuna kitu labda sister kamfania.. maana hii ishu huwezi kurupuka... unaweza kuta mke wake ndo amemuanza.... au kamfumania. Kwao ni bahari beach nitaenda jumamosi.

Wewe mkeo akikufanyia kitu, nawe utatafuta Mdada wa nje?
 
We unaishi kwake huyo shemijio? kama jibu ni ndio tarajia siku moja kutumwa kupeleka hela ya mboga kwa huyo dada wa kufikia.
 
Oti.. yaani sikujua nafanya nini.. nilicheka kwa shock ni kitu ambacho sikutegemea. Ni mtu ambaye hata wazee home wanaeshimiana sana...

Nimeshakutetea mwaya, nimemwambia OT kwamba wewe haukucheka, bali ulijichekesha, sema tu wakati unakuja hapa jamvini ulikuwa umechanganywa sana na hiyo kitu, ndo maana umesema wote mlicheka, badala ya kusema wao walicheka wewe ulijichekesha.
 
Back
Top Bottom