Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sarikoki wewe ni jinsia gani? Kama ni mwanaume inatakiwa kupotezea mwanaume hawi mmbeya.
Well spoken Mambuchi, mimi pia nimeoa na nina watoto(Family) ishu kama hizi ni vyema nikachukua mda kujua chanzo ni nini? Maybe itmight be retaliation kwa sister may be ameteleza but i must investigate the sourceya yeye kuteleza. We all make mistake. The reason nimeileta hii mada hapa itsbecause i love this couple very much and i want to save their marriage, she isour first born kwa hiyo wote ni wakubwa sana kwangu. Imagine watoto wao wote niwakubwa wengine wako vyuo na wengine wameshaajiriwa. Its a serious thing...If this happened infront of you, it means you are both married to him. There is no question about that. He has no respect to you at all. Talk to your Sister right now. Do not bother whether their marriage will fall apart or not. How could he?. You know what, he called you purposely to show you there is another mistress apart from your Sister, and by doing this to you, it is as if you are also his "mistress". Fundisha yeye adabu maana hana adabu kabisa.
Hapo bana jamaaYaani huyu jamaa kamuoa dada yangu kabisa.. Jana jioni kanipigia simu, bwana shem njoo hapa- (hotel moja maarufu city center) tupunguze foleni. Nilikua na kiu kwelikweli dakika sifuri nikawa nshafika.
Basi mzee nikaanza kukata maji... ya kwanza--ya tatu imefunguliwa, mara anangia demu mmoja mkali balaa... naona anakuja tulipo kaa huku anatabasamu... mimi majicho yamenitoka huku mapigo ya moyo yanaenda kasi.
Hello Darling... shem anasimama anambusu lipsini. Na kumkaribisha aketi.... umependeza mpenzi, Dada akajibu hasante Darl. Wakaangaliana kwa sekunde kadhaa huku wakitabasamiana... alafu kama vile shem anashtuka , bytheway huyu ndio yule shemeji yangu nilikua nakuambiaga.... enheee ndio huyu? nice to meet you. Huku tabasamu likizidishwa.Halafu shem akaniambia, kiongozi usimwambie dada bwana.Wote tukacheka kwa sauti..
Wakuu yote hayo yametokea mbele yangu...nilihisi kama nilipigwa na radi vile, sikuamini kinachotokea. Nikaipiga ile ya tatu fasta nikafake napokea simu , alafu nikaaga.
Biti hicho ndio kiko akilini kwangu, huwezi kufikiri hata kidogo huyu jamaa anaweza fanya hivyo. Lazima nijue nini kinaendelea maana mpaka mtu mzima aamue kuweka rehani ndoa yake na family yake sio jambo la juu juu. Kuna mtu anaweza fanya hivyo na wala nisishtuke lakini not him, there must be something going on ambacho hatujui, but i will work on it this saturday and for sure monday nitawajulisha.Sarikoki fikra nyengine inayonijia ni kuwa inawezekana hiyo scenario imetengenezwa. Kwa unavyomzungumzia shemegi yako angeona japo kiaibu kidogo kwani uso umeumbwa na haya. Angemkaribisha kukaa lakini siyo kumsifu na kumkiss mbele yako.
Kuna message anajaribu kuituma kwa kukutumia wewe.
Sina vile naeza sema..
U nid smtyms 2 thnk abt it..
Na kama mamako yuko na anafikika na anaweza kuyachukulia mambo ni vema umshirikishe na yeye au mshenga wake kwa dadako...
Kiukweli hapo Mapenzi kwa dadako hakuna tena wangu ,, hata ingekuwa bia 10 hasingeeza fanya utuntufunyusu kama huo..!!
Kawaida saaaana kama unaona ni geni, na ufunge huo mdomo wako,namaanisha usimwambie dada yako
kama unataka kusaidia ,jaribu kuongea na huyo shemeji yako kuhusu hayo mambo yake
kwamba akiwa na mipango yake asikuite pahala popote
Hata mimi nashangaa!!cha ajabu ni kitu gani hapo?....
asa mkuu ulikuwa na mshangao, au ulicheka?.Halafu shem akaniambia, kiongozi usimwambie dada bwana.Wote tukacheka kwa sauti..
Wakuu yote hayo yametokea mbele yangu...nilihisi kama nilipigwa na radi vile, sikuamini kinachotokea. Nikaipiga ile ya tatu fasta nikafake napokea simu , alafu nikaaga.
mi nafikiri huyo ni mkewe mdogo na amemuowa kwa ndoa halali, ila imekuwa vigumu kumtambulisha ameanza kidogo kidogo muanze kumtambua bimdogo.
Yaani huyu jamaa kamuoa dada yangu kabisa.. Jana jioni kanipigia simu, bwana shem njoo hapa- (hotel moja maarufu city center) tupunguze foleni. Nilikua na kiu kwelikweli dakika sifuri nikawa nshafika.