Itabidi uhave a long chat with ur shemeji; ila kwa mtazamo wangu huyo shemeji yako hana adabu wala heshima.
Kilichokuchekesha?
OTIS
Aisee Pretaaa yaani hii kitu sikutegemea... nianguke kwa Kadio Aresti. Nimepanga kuanza uchunguzi kuanzia jumamosi.jombaaa....katika aina za zereu....hii ni moja ya namba za juu......
Aisee Pretaaa yaani hii kitu sikutegemea... nianguke kwa Kadio Aresti. Nimepanga kuanza uchunguzi kuanzia jumamosi.
Huyo haitaki tena ndoa na Dada yako, ameamua kukuonyesha waziwazi. Inawezekana ana pesa na mnamtegemea sana ndio maana kadiriki kukufanyia dharau kubwa kiasi hicho. Pia inawezekana anajua madhambi yako mengi unayofanya kwa hiyo anaona hilo analolifanya ni dogo kulinganisha na yakwako.
Itabidi uhave a long chat with ur shemeji; ila kwa mtazamo wangu huyo shemeji yako hana adabu wala heshima.
hakucheka huyu kwa kupenda..alikuwa anazuga ...hapo huwezi kuchekaKilichokuchekesha?
OTIS
kweli amewachoka
Kilichokuchekesha?
OTIS
Uchunguzi gani tena jamaaa.
OTIS
Itakuwaje dada yako akija pata taarifa toka chanzo chochote kile kuwa wewe nduguye wa damu ni mojawapo kati ya wanaomkuadia mumewe kwa wanawake wengine?
Leo ukipata malalamiko toka kwa dada yako kuwa shemeji haachi fedha ya matumuzi nyumbani na badala yake anatumbua na vimada wake utajisikiaje wakati na wewe beer ulikunywa?
Tahadhari fanya maamuzi chukua hatua stahiki
Hasante sana, ila katika mtu ambaye sikuwahi kumhisi ni yeye... yaani tunaheshimiana sana.. bado nafikiria what is not happening.
Naona hakupaswa kujijumuisha humo kwamba wote tukacheka, angesema wao walicheka, mimi nikajichekesha.
Nahisi kama kuna kitu labda sister kamfania.. maana hii ishu huwezi kurupuka... unaweza kuta mke wake ndo amemuanza.... au kamfumania. Kwao ni bahari beach nitaenda jumamosi.
Oti.. yaani sikujua nafanya nini.. nilicheka kwa shock ni kitu ambacho sikutegemea. Ni mtu ambaye hata wazee home wanaeshimiana sana...