Ni shemeji yangu kabisa..

Bia za bure mbaya,

Mkuu kitonga kila mtu anapenda... za bure tamu bwana. Ila its normal mtu wa karibu mnaeheshimiana akikukaribisha huwezi kataa. Hata mimi huwa namkaribishaga.
 
We unaishi kwake huyo shemijio? kama jibu ni ndio tarajia siku moja kutumwa kupeleka hela ya mboga kwa huyo dada wa kufikia.
Hapana Tai, mimi ninafamilia yangu naishi kwangu.. ni watu wazima mkuu.
 
Nimeshakutetea mwaya, nimemwambia OT kwamba wewe haukucheka, bali ulijichekesha, sema tu wakati unakuja hapa jamvini ulikuwa umechanganywa sana na hiyo kitu, ndo maana umesema wote mlicheka, badala ya kusema wao walicheka wewe ulijichekesha.
Hasante mwaya Safina
 

Mkuu hapo kwenye rangi, hapana NO! Madhambi ya huyu jamaa na huyo bwana kufanya dharau kubwa hivyo havihusiani.
 
Wewe mkeo akikufanyia kitu, nawe utatafuta Mdada wa nje?

Aisee siwezi kujibu hili... unajua lazima ufahamu nini kimetokea, kama nilivyosema hata nimwambie nani kwetu hawawezi niamini... kama mtu wa kumuhisi ni sister.. jamaa ni mpole na ana akili (smart). Huwezi fikiria anaweza fanya huu ujinga.
 

Thats a good idea.. nitafanya hivyo nikishajiridhisha kama source sio sister... najua ukweli nitaupata pale kwake. Kuna kabar nje na niko close na wafanyakazia wake. Kama kuna ishu watanitonya tu.
 
Aisee siwezi kujibu hili... unajua lazima ufahamu nini kimetokea, kama nilivyosema hata nimwambie nani kwetu hawawezi niamini... kama mtu wa kumuhisi ni sister.. jamaa ni mpole na ana akili (smart). Huwezi fikiria anaweza fanya huu ujinga.

My point is; hakuna justification yoyote ya mtu kumcheat mwenzake! Hakuna kosa ambalo adhabu yake ni kusaliti ndoa. Huna haja ya kufanya uchunguzi wowote, just confront him yeye ndio akwambie sababu ya kumsaliti mkewe!
 
If this happened infront of you, it means you are both married to him. There is no question about that. He has no respect to you at all. Talk to your Sister right now. Do not bother whether their marriage will fall apart or not. How could he?. You know what, he called you purposely to show you there is another mistress apart from your Sister, and by doing this to you, it is as if you are also his "mistress". Fundisha yeye adabu maana hana adabu kabisa.
 
Oti.. yaani sikujua nafanya nini.. nilicheka kwa shock ni kitu ambacho sikutegemea. Ni mtu ambaye hata wazee home wanaeshimiana sana...

Kwa kweli wala hulaumiki. Angekwambia tangu mwanzo kuwa anamtegemea rafiki yake ingekuwa tafauti.

Kwenye tukio halisi mtu hawezi kujua reaction itakuwa vipi.
 
Sarikoki fikra nyengine inayonijia ni kuwa inawezekana hiyo scenario imetengenezwa. Kwa unavyomzungumzia shemegi yako angeona japo kiaibu kidogo kwani uso umeumbwa na haya. Angemkaribisha kukaa lakini siyo kumsifu na kumkiss mbele yako.

Kuna message anajaribu kuituma kwa kukutumia wewe.
 
Ndio Matatizo ya kuwafanya Mashemeji Marafiki wa karibu sana hayo ndio mazara yake huyo anatafuta sababu mmkimuendekeza na nyie hizo ni zarau, kama mnamdogo wa Secondary wa kike fungueni macho na sumu huyo Shemeji. na kama wewe ni Mwanaume na una demu tizama Shemeji Shemeji mara anazima taa.
 
ooh my god shemeji yako hana adabu hata kidogo utulivu zero ...ama alitaka ufikishe msg kwa sisy wako?
:A S-alert1:
 
Tatizo sio shemeji yako, tatizo lako ni wewe maana mara nyingi umefanya umalaya mbele ya shemeji yako huyo ndo maana naye hakuona shida kufanya vile. Ndege wa mabawa sawa huruka pamoja, tatizo safari hii wameruka juu zaidi. Pia punguza kupenda bia za bure, wewe umesoma shule vizuri sana lakini tabia zako za kupenda pombe na wanawake zimekushushia hadhi yako, na ni uhakika hata ukimwambia dada yako atakupotezea maana anajua hizo ndo tabia zako.......any way pole sana
 
Sarikoki
If I were you ningemuelezea kuwa while what transpires between him, and his ****** ni maisha yake, but kwa kuwa kuna magonjwa kem kem that are life threatening na yasiyo tibika, let alone the fact that yeye ni shemejiyo you are left with no option but to tell on him and then proceed to let my sister know what is going on

PS
Duh.............................................Hivi jamani wanaume mnakuwaga na matatizo gani:thinking:???????????
 
Mpaka shemeji kuwa comfortable kiasi hicho kukuonyesha mambo hayo kuna mawili:
1. Is it possible kwamba shemeji yako kaisha kuona na wewe unafanya hivyo (cheating on your wife/girlfriend/fiancée)? People tend to get comfortable to do these sort of things in front of you if they know you can't judge since you do the same thing. IF NOT THEN
2.Heshima imeisha and he really doesn't care much if his wife finds out or not.

I would talk to him first and find out kulikoni...but I would also let the sister know.
 
sa mona uliwahi kuondoka mshkaji...shem alikuwa anakuunganishia pale bana....ona sasa, utakuwa single mpaka lini?
 
msaidie dadako ila kuwa makini usijesababisha ndoa yake ikapata ufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…