Ni shemeji yangu kabisa..

sarikoki wewe ni jinsia gani? Kama ni mwanaume inatakiwa kupotezea mwanaume hawi mmbeya.
 
sarikoki wewe ni jinsia gani? Kama ni mwanaume inatakiwa kupotezea mwanaume hawi mmbeya.

Nimekusoma mkuu, ndio maana nasisitiza lazima nijue chanzo maana jamaa sio kawaidayake.
Siwezi kurupuka kaka. Mimi ni wa kiume (Rijali)
 
Well spoken Mambuchi, mimi pia nimeoa na nina watoto(Family) ishu kama hizi ni vyema nikachukua mda kujua chanzo ni nini? Maybe itmight be retaliation kwa sister may be ameteleza but i must investigate the sourceya yeye kuteleza. We all make mistake. The reason nimeileta hii mada hapa it’sbecause i love this couple very much and i want to save their marriage, she isour first born kwa hiyo wote ni wakubwa sana kwangu. Imagine watoto wao wote niwakubwa wengine wako vyuo na wengine wameshaajiriwa. It’s a serious thing...

 
Hapo bana jamaa
kafanya dharau ya hali ya juu,
Pili unaweza ukaamua kukausha kiume, but soon mkazika dada yenu kwa ugonjwa,
Tafakari, chukua hatua
 
Biti hicho ndio kiko akilini kwangu, huwezi kufikiri hata kidogo huyu jamaa anaweza fanya hivyo. Lazima nijue nini kinaendelea maana mpaka mtu mzima aamue kuweka rehani ndoa yake na family yake sio jambo la juu juu. Kuna mtu anaweza fanya hivyo na wala nisishtuke lakini not him, there must be something going on ambacho hatujui, but i will work on it this saturday and for sure monday nitawajulisha.
 

Kabisa Magwero, i nid smtyms 2 thnk abt it. No siwezi mwambia mtu wa family kwa sasa, mshenga hanihusu huyo wataenda wao na kwa wazazi kabisaaa, siwezi kuwaua kwa presha wazee wa watu.
 
Huyo shemeji yako ni mpumbavu na muwaji hafai ktk jamii
 
kakufanyia dharau kubwa sana,ila binafsi siafikiani na kumwambia sister.fanya maamuzi ya kiume kaa nae chini huku mkipata mbili tatu (kwa gharama yako)then mwambie wazi kwa kiasi gani alikukosea adabu huku ukimaanisha unachosema hatakivitendo.
my qoute:wanandoa halali ambayo tusinge penda ipate misukosuko,ila nimuhimu ajue your side stand ktk matukio kama hayo.
 
Kawaida saaaana kama unaona ni geni, na ufunge huo mdomo wako,namaanisha usimwambie dada yako
kama unataka kusaidia ,jaribu kuongea na huyo shemeji yako kuhusu hayo mambo yake
kwamba akiwa na mipango yake asikuite pahala popote
 
Kawaida saaaana kama unaona ni geni, na ufunge huo mdomo wako,namaanisha usimwambie dada yako
kama unataka kusaidia ,jaribu kuongea na huyo shemeji yako kuhusu hayo mambo yake
kwamba akiwa na mipango yake asikuite pahala popote

Blackberry kama naelewa kabisa unavyosema, ila kama ninavyosisitiza i want to save their marriage maana huyu jamaa sio mjanja kabisa lazima atashtukiwa tu.Nataka nikishajua tatizo ndo niongee nae ili tusolve.
 
kaka ukibebwa bebeka hyo ni ratiba kuingiliana na sio zarau kwani si yeye alikuita na dat y akakujoke usije mwambia dada mbona ni mambo ya kawaida je siku ukiwa na dada yako then akakuonyesha shemeji utasema ushakua wewe
 
mi nafikiri huyo ni mkewe mdogo na amemuowa kwa ndoa halali, ila imekuwa vigumu kumtambulisha ameanza kidogo kidogo muanze kumtambua bimdogo.
 
lakini kama na mwenyewe ana dada mlabulie dada yake coz no 1 pafect malipo ni dunianin ahera maesabu
 
Njaaa na kiu zenu zitawaua . Huyo shemeji yako hafai kabisa .......
 
Hiyo ni dharau kukuita pale na kukuonyesha uchafu wake,afadhali hata uwakute kwa bahati mbaya au usikie lakini sio wewe uwe mmojawapo wa kushuhudia hilo,NI DHARAU KUBWA NA KUKOSA ADABU.
 
kwanini akuite kama alikuwa na appointment? ana dharau, au kuna kitu alitaka akwambie sema hukuelewa,
by the way umejichanganya somewhere hapa
asa mkuu ulikuwa na mshangao, au ulicheka?
 
mi nafikiri huyo ni mkewe mdogo na amemuowa kwa ndoa halali, ila imekuwa vigumu kumtambulisha ameanza kidogo kidogo muanze kumtambua bimdogo.

Kwa alivyojiamini it makes sense kwamba hiyo ni namba 2. Labda hiyo ndiyo hidden message aliyokuwa anajaribu kuituma kwa shemei yake
 
Inabidi siku nyingine akikuita ktk vijiwe vyake vya pombe usitokee kwani huyo jamaa ameshakudharau wewe na dada yako!Inaelekea huwa unapenda kinywaji cha bure sasa hayo ndio matokeo yake,kwa kifupi huyo jamaa hana maana kabisa na inaelekea kama wanavyosema wengine mnamtegemea na ameshawasoma wote akajua hamna ujanja na hamuwezi kumfany alolote!Dada yako ana kazi?
 

Amekudhalilisha sana, inapaswa akuombe msamaha maana amekuonyesha wazi kuwa yeye si mwaminifu kwa dada yako, na bila aibu anakuongo kwa pombe. Ningekuwa ni mimi nisingemuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…