Ni shemeji yangu kabisa..

mmmmh una shemeji kweli haya njoo huku nikuongeze tusker malt mbili.....
 
Kwa dharau kama hizo usishangae akakugongea tgo. Mh! Dharau zingine bwana!
 
Utajuta sana, ingawa hatuombi mabaya, pale utakapokuwa makaburini kkumzika sister baada ya kufa kwa Ukimwi. Utajiuliza sana hivi kwa nini hukumwambia dada yako kuwa mumewe si mwaminifu na tena hana aibu!
 

Mbona hiyo ndio salama yako maana baada ya Bia tano tuu wewe ndio ungekaimu kazi ya dada yako
unacheza na pombe wewe
 
Dharau za kutosha. Hafu amemwambia Na habari zako.
 

....Hukustahili kuondoka kabla ya kumsemea hovyo mbele ya mwanamke wake ili ajue huwezi kuruhusu ujinga kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…