Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

majosa jr

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
58
Reaction score
14
Wana jamvi napenda kujua ni shule gani ambayo imetoa wasomi weng sana kuliko shule nyingne, kuna tetesi kuwa eti ni mzumbe na tabora boys je kweli'? Naomba msaada wadau
 
no wonder kuona tabora boys,shule ndo ilikuwepo hata nyerere hajazaliwa na ilitegemewa karibu nchi nzima,it was single why not,na maprof wengi ni wazee,accumulatively lazima iongoze japo kwa sasa hali ni tofauti
 
Ndiyo maana unaitwa Qeen! Yaani mpaka leo yote haya huyaoni.!!!!

Ninayo yaona mengi hayaendani na hadhi zao sera mbovu, uchumi ndo usiseme elimu nayo ni Mulugo tu hata graduates wanaowatoa hawana kitu kichwani sasa hizo sifa za uprof zinafaida gani kwa nchi zaidi ya sifa mbaya tu nje ya nchi.
 
Wana jamvi napenda kujua ni shule gani ambayo imetoa wasomi weng sana kuliko shule nyingne, kuna tetesi kuwa eti ni mzumbe na tabora boys je kweli'? Naomba msaada wadau

ndanda boys high school
 
tunataka walichofanyia taifa kiwekwe hadharani.. sio walikotoka ni wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…