Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

nijuavyo mimi sekondari zinatoa vyeti. csee na acsee, labda za siku hizi kama zinatoa uprofesa sijui..!
 
Tabora girls!!! Ilitoa wanajeshi wengi sana ambao wakati wa kujitambulisha ilikuwa burudani
swali:afande umesoma wapi?
Jibu taboraa girls
swali: Ulichukua kombi gani
jibu: Aaah fikombi hafikuwepo wakati ule filikuwepo fi rand rover tuu!!!!!!

Hayo ndo majbu ya afande wa kikurya mwanaume !!!!!
 
Masjid Qubah...hii sijui iko dar nadhani!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom