Hapo ndipo huwa nachoka kabisa, haya niseme Ihungo sekondari inaongoza kwa kutoa maprof wengi! Sasa mantiki inakuja wamefanya jipya lipi kwa watanzania? Mbona hata Mengi anawazidi ni mjasiri amali? Hata Ruge anawazidi kuwa na manufaa? Mbona wizara wanaboronga wakipewa? Mbona bungeni wengi wao hutoa point zisizo na mashiko? Bora tuseme michango yao kwa jamii sio matumbo yao tu.