nakubaliana
Hao maprofesa wamesaidia nn taifa zaidi ya kukimbilia siasa na kufisadi nchi.
Here is king of sheba
ndanda boys high school
maprof wengi ni wazee na walisoma kipindi hicho wakati shule zipo chache saana so walilazimika kusoma shule kama hizo.angalia shule za vipaji za zamani kuliko zote kwa mpangilio utajua hilo .tabora na mzumbe ni kweli ila sijafaya research maana hiyo research kwangu ni uselesswana jamvi napenda kujua ni shule gani ambayo imetoa wasomi weng sana kuliko shule nyingne, kuna tetesi kuwa eti ni mzumbe na tabora boys je kweli'? Naomba msaada wadau
Wana jamvi napenda kujua ni shule gani ambayo imetoa wasomi weng sana kuliko shule nyingne, kuna tetesi kuwa eti ni mzumbe na tabora boys je kweli'? Naomba msaada wadau
Yeah ni kweli kabisa hasa TABORA SPECIAL SCHOOL
alharamain seminary
Tabora school(taboraboys) maprofesa wa kumwagaaaa
haiwezi kuwa kweli
hii shule ya kawaida sana
shule ya sekondari ina maprofesa??Mpwapwa sekondari moprofesa wengiii
tosamaganga
Ni Tanga school ndo inaongoza kwa kutoa prof wengi!
ndanda boys high school
kantalamba secondary
Ndanda boys imemtoa Mkapa tu tena mwenye Phd ya kupewa na enzi zile ilikuwa mixture boys imeanza miaka ya 2000's
malangali secondary ndo baba lao
shule ya sekondari ina maprofesa??
Au mimi ndio sielewi!!! maprofesa wanatokea shule za sekondari au vyuoni embu naomba mnijibu tafadhali??
shule ya sekondari ina maprofesa??
Au mimi ndio sielewi!!! maprofesa wanatokea shule za sekondari au vyuoni embu naomba mnijibu tafadhali??
Na mm ya kwangu hatuko nyuma "Musoma (technical /Alliance) High School, nadhani tunaongoza kwa Maprofesa, MaDR na Viongozi wakubwa serikalini.
Hahahah shule ya mchangani