ndo zipi hizo Mkuu?Nna classmate alikuwa anavaa hivyo vikofia tangu o level. Huyo jamaa anazo zile sifa zote za hiyo kofia.
Q-NET hawaoni ndani kwa drama za hao ma master wa hivyo vikofia kwenye upigaji 🐒Habari wakuu,
Hivi kwanini watu wanaovaaga hizi kofia ni watu wa kuwa nao makini hasa wanapokuhusisha kwenye dili la hela maana usiposhtuka mapema utalia
Ni sifa gani unayoifahamu kwa wanaovaa hizi kofia?
Waongo waongo wajivuni alafu matapeli sanando zipi hizo Mkuu?
Lucas Mwashambwa ni mshamba hawezi kuvaa kofia kama ya notorious b.I.g aka Biggie SmallsSina uhakika ila kati ya hawa lazima mmoja anayo
Ushimen
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume
Lucas Mwashambwa
Ivy cap au Gatsby ndio jina rasmi la kofia zetuSina uhakika ila kati ya hawa lazima mmoja anayo
Ushimen
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume
Lucas Mwashambwa
Ukiacha sifa ya utapeli ni watu wenye hekima sana...Ivy cap au Gatsby ndio jina rasmi la kofia zetu
Hebu mtaje tapeli anayevaa uniformUkiacha sifa ya utapeli ni watu wenye hekima sana...
Hati za viwanja na nyaraka nyeti weka mbali na hawa watu.Habari wakuu,
Hivi kwanini watu wanaovaaga hizi kofia ni watu wa kuwa nao makini hasa wanapokuhusisha kwenye dili la hela maana usiposhtuka mapema utalia
Ni sifa gani unayoifahamu kwa wanaovaa hizi kofia?
Hiyo kapero zamani nilikuwa nashangaa kofia gani mbele imekaa kama ulimi wa ng'ombe?.🤣 Ikitokea imefunguliwa vile vifungo vya mbele bas inakua ni fulu kucheka.. 😂Habari wakuu,
Hivi kwanini watu wanaovaaga hizi kofia ni watu wa kuwa nao makini hasa wanapokuhusisha kwenye dili la hela maana usiposhtuka mapema utalia
Ni sifa gani unayoifahamu kwa wanaovaa hizi kofia?