Ni sifa gani unaifahamu ya Majamaa wanaovaaga hizi kofia?

Habari wakuu,

Hivi kwanini watu wanaovaaga hizi kofia ni watu wa kuwa nao makini hasa wanapokuhusisha kwenye dili la hela maana usiposhtuka mapema utalia

Ni sifa gani unayoifahamu kwa wanaovaa hizi kofia?

Hiyo kapero zamani nilikuwa nashangaa kofia gani mbele imekaa kama ulimi wa ng'ombe?.🤣 Ikitokea imefunguliwa vile vifungo vya mbele bas inakua ni fulu kucheka.. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…