playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
me man water hataji jina utaskia vimaji tu tchwaaaaaaa....no name ujue man waterKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
Daz naledgeKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
Producer wa kisela ni E-Kelly mnaijeria yule aliyeproduce Omo Alhaji ya YCEELegendary beat...
Au seke bobo on the beat
Signature ya producer gani aliefanya Kisela ya vee money?? Nimeizimikia ghafla
Huyu anaesikika kweny nyimbo za Weusi??
De Fatality
seke bobo >>>>SELE BOBOLegendary beat...
Au seke bobo on the beat
Signature ya producer gani aliefanya Kisela ya vee money?? Nimeizimikia ghafla
Another one another one[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji1]diiiijeeei khaaaliid
hivi ni kimambaa au kimbaumbau??
'It is a Fish Crab Cookout'Starfish crab nini sijui....auuuuuuu
Huyu wa TURN UP YA country boy?? Nyimbo gani Hit ameproduce nyingine?
MasterKraft on the beat...namkubali balaaMASTER-CRAFT ya NIGERIA ndio signature kali zaid barani Africa...Nyingine zote ni za kawaida na hazina mashiko kivile.
Lucci yuko wap siku hizi?? alikuwa anampatia CPwaa1. Zest Is On This Beat Ladies And Gentlemen (Moja Moja Records)..
2. Enzi Hizo Dunga Anatamba Joh Makini ansema "DUNGA UTAWAUA" Dunga anajibu "MY CONDOLENCES".. (41 RECORDS)
3. LUCCI
4. MAN WALTER ULE MTIRIRKO WA MAJI
5. Abby Daddy..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]Yapanza ndota, kwisa bahaariiiia kwiiiiiiiiiisaaaaa. Pole pole haunaaaaa,
aby dadyKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
AwesomeAwasome
wa mr nay