Mr.Thinker
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 125
- 141
Nakubaliana na wewe. Amepewa kila kitu, hana stress lakini ubunifu ZERO !
- Wangepata watu kama Abba, Luffa, Abydad, Maximizer ingekuwa poa sana
Mika Mwambaaaaaaaaa ( kwa sauti ya dudu baya) [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...
me nasemaga diva makoo u killing 'em[emoji23][emoji23][emoji23] kune wimbo wa OLE
Anatengeneza kiepe na kuosha ndingaJamaa kawa mvivu siku hizi hatengenezi ngoma kabisa !
Pancho alikuaga na Signtune kweli?me nilikua naiskia ya Hammy B tu hadi kwenye ngoma za Pancho"Kwenye track hii ya Hammy Biiiiiii"
[/QUOTE haha! Hujawahi kusikia pancho latino mfano katika nyimbo ya linah bora nikimbie au ile
Anayo ile ya UpweePancho alikuaga na Signtune kweli?me nilikua naiskia ya Hammy B tu hadi kwenye ngoma za Pancho"Kwenye track hii ya Hammy Biiiiiii"
Bk sande anajua Sana tatizo anapiga Sana urabu.Inagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE, YA LEO KALI, LADY KILLY N.K
Hii ndo yenyewe"VUUUUUUUM- TONGWE RECORDS BEIBII'"
Ule mlio wa fusoHii ndo yenyew
Hupaaah Hupaaaaaa! Pancho M.A.PKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours