Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...

me nasemaga diva makoo u killing 'em[emoji23][emoji23][emoji23] kune wimbo wa OLE
 
Pancho alikuaga na Signtune kweli?me nilikua naiskia ya Hammy B tu hadi kwenye ngoma za Pancho"Kwenye track hii ya Hammy Biiiiiii"
[/QUOTE haha! Hujawahi kusikia pancho latino mfano katika nyimbo ya linah bora nikimbie au ile
Pancho alikuaga na Signtune kweli?me nilikua naiskia ya Hammy B tu hadi kwenye ngoma za Pancho"Kwenye track hii ya Hammy Biiiiiii"
Anayo ile ya Upwee
 
Inagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE, YA LEO KALI, LADY KILLY N.K
Bk sande anajua Sana tatizo anapiga Sana urabu.
 
The Mix Killer
Neym
Abbah
Mocco
S2Kizz baby
Kamix Lizer
Yogo on the beat
Chiby
Kimambo on the beat
Bear
 
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:

1. Abba

2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )

3. Nahreel On the beat

4. Kwenye Track hii na Hermy B

5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )

6. Tudd Thomas

7. Luffa

What's yours
Hupaaah Hupaaaaaa! Pancho M.A.P
 
Back
Top Bottom