mwenyewe joseph
Senior Member
- Nov 1, 2016
- 104
- 25
Hiyo nasikia sana kwenye TRAP MUSICyule anayelia "Aaaaaaaaaaau"! mwanzo wa beat na mwisho wa beat iko kitofauti sana., kwa ughaibuni kuna kijamaa kinajiita "metro boomin want some more nigga"
BupeeeeeeIle ya Pancho Latino ni namba 1 yangu....
-thinkpad-
B hitz- ndiye aliyeproduce wimbo wa turn up ya country boy ft mwanafaStudio gani hizo ?
Hii hapa ingine tena...kutoka kwa hyper man [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii hapa ingine hii...(kwa saut ya snura)
Kumbe na wewe umeliona hili mkuu...ana beats za kitoto kweli..
[emoji23][emoji23][emoji23] "we hyper maniii hk,its snu sexy snura"Hii hapa ingine tena...kutoka kwa hyper man [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Waleteeeeeeee!!!! Kanyau master ..hiyo ndani ya shida records!Duke utauwa duke ya pamoja record wazee wa singeli
Yabanda ndota kwisa baharia kwisaaaaa chidi baba hauna huyu hapa hauna yule pale hauna polepole hauna pole baba hauna buti kama hii hauna huwezi nunua. Hauna.....man fogooooooooooooYapanza ndota, kwisa bahaariiiia kwiiiiiiiiiisaaaaa. Pole pole haunaaaaa,
We na maserati mnapenda sana mziki mnaonekana[emoji23][emoji23][emoji23] "we hyper maniii hk,its snu sexy snura"