Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

yule anayelia "Aaaaaaaaaaau"! mwanzo wa beat na mwisho wa beat iko kitofauti sana., kwa ughaibuni kuna kijamaa kinajiita "metro boomin want some more nigga"
 
1. Zest Is On This Beat Ladies And Gentlemen (Moja Moja Records)..

2. Enzi Hizo Dunga Anatamba Joh Makini ansema "DUNGA UTAWAUA" Dunga anajibu "MY CONDOLENCES".. (41 RECORDS)

3. LUCCI

4. MAN WALTER ULE MTIRIRKO WA MAJI

5. Abby Daddy..
 
Back
Top Bottom