Bugalii
hivyo mbona vya kawaida xana signature kal ni ya nahree na msela mmoja hiv toka b hits BugaleezKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
Shekhe ni O.B.O...B.O.B
Davido
Mkuu nicheki Pm tafadhali1. Tudd Thomas
2. Maximizer
*Imma the boy* imekaa kiboya boya