Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:

1. Abba

2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )

3. Nahreel On the beat

4. Kwenye Track hii na Hermy B

5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )

6. Tudd Thomas

7. Luffa

What's yours
hivyo mbona vya kawaida xana signature kal ni ya nahree na msela mmoja hiv toka b hits Bugaleez
 
Napenda voice mark ya Lamar wa fishcrab, nadhani ndo alianzisha huu mchezo wa maproducer kuweka signature kwenye instruments zao
 
Back
Top Bottom