Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Hivi ni Signature au Sign tune?!BTW kwa Producers wa nje napendaga sana'Heheh is Krizbeat the drummer boy'ya Krizbeat pamoja na Masturd on the beat'ya Dj Masturd.
 
niwakumbushe tuu haiitwi signature wataalamu tunaiita "trade mark" na producer wa kwanza hapa bongo kuanzisha Alikua Lamar wa fish crab cock out...
 
1:Aaby Dadiiii/Hayaaaaa'Aby Dady'
2:Ee ee ee..S 2 Kiiizy beibyy'S2 kizzy'
3:Yogo on the beat Aaaahhhhh'Yogo'
4:Kimambo on the beat'Kimambo'
5:Aii aiii iz Boongaaa'Bonga'
6:Kikikikiki kili records/Don don'Rashdon'
7:The Mixing killer/Abaaaaah'Abah Process'
Hapo kwenye mix killer umekosea mkuu. Huyo ni yokeyzmorento
 
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:

1. Abba

2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )

3. Nahreel On the beat

4. Kwenye Track hii na Hermy B

5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )

6. Tudd Thomas

7. Luffa

What's yours

1.Ayo Laiiizer
2. Its Krizbeatz
Kwa Wasaniii

1. Platnumz
2. Konde Booooooy
 
Back
Top Bottom