Ni siku gani ilikuwa bora kabisa kwako, ilikuwaje?

Ni siku gani ilikuwa bora kabisa kwako, ilikuwaje?

Siku nilipwa usdt 5.76 mara 111 ndan ya dk 5 nilpokea more than 600usdt asee sikujua zmetoka wapi

[emoji838][emoji838][emoji838][emoji838]

Na kwakuw ni cryptocurrency haikusumbua lolote
Matumizi yalikuwaje mkuu.
 
Siku nambeba mtoto wangu wa kwanza kwakweli furaha ilitoka ndani ya moyo wangu
Na siku namzika mama yangu dah siwezi sahau aise
 
hii siku
20231028_234759.jpg
 
Siku nambeba mtoto wangu wa kwanza kwakweli furaha ilitoka ndani ya moyo wangu
Na siku namzika mama yangu dah siwezi sahau aise
1. Hongera sana mkuu, Mwenyezi mungu Kwa kukujalia uzao 🙏

2. Pole sana mkuu, dunia tunapita, sote tupo njia moja
 
Back
Top Bottom