ni siku ipi hasa

ni siku ipi hasa

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
wanajamii nisaidieni! hivi ni siku ipi hasa mwanamke akikutana na mwanaume anapata mimba
 
Hakuna siku maalum, ingawa unaweza kukadiria. All in all, inaweza kuwa ni siku yoyote ile hata nje ya mzunguko. "When a woman is highly sexually stimulated, she can ovulate out of cycle." Quoted from LOU PAGET.
 
siku ya kuanza hedhi ukiihesabu kama moja , hesabu siku 14 ndio yai lingine hutoka, lakini mbegu za kiume huishi mpaka masaa 48 yaani siku mbili kwa hiyo mkingonoka siku ya 12 tokea kuanza kwa hedhi basi siku ya 14 yai likitoka litakutana na mbegu, pia baada ya yai kutoka huishi siku 2 so mtu anaweza pata mimba kuanzia siku ya 12-17 tokea kuonekana kwa hedhi,
NB:siku 14 za ovulation ni fixed haajalishi mwanamke ana mzunguko wa siku ngapi
 
asanten sana.ss ngoja nijipange.shukran sana wanajamii
 
siku ya kuanza hedhi ukiihesabu kama moja , hesabu siku 14 ndio yai lingine hutoka, lakini mbegu za kiume huishi mpaka masaa 48 yaani siku mbili kwa hiyo mkingonoka siku ya 12 tokea kuanza kwa hedhi basi siku ya 14 yai likitoka litakutana na mbegu, pia baada ya yai kutoka huishi siku 2 so mtu anaweza pata mimba kuanzia siku ya 12-17 tokea kuonekana kwa hedhi,
NB:siku 14 za ovulation ni fixed haajalishi mwanamke ana mzunguko wa siku ngapi

Asante kwa maelezo yako hapo juu.

Siku ya 14 ni standard kwa wanawake kutokana na standard mzunguko wa wanawake wengi ni siku 28. Lakini kutokana na maisha ya sasa, stress kuwa nyingi na mavyakula na madawa wanawake wanayotumia, nowdays wanawake wengi hawana mzunguko wa siku 28, wengine wanaenda mzunguko mpaka wa siku 40 every months, na hawana tatizo ndo mizunguko yao.

Kwa mtu kama huyu sio siku ya 14 toka siku ya kwanza ya kuanza kuona hedhi yake. Kufanya stori ndefu iwe fupi, hebu google ovulation calculator, specify mzunguko wako, na watakupa possible ovulation day za miezi sita etc
 
hakuna siku mwanamke akikutana na mwanaume anapata mimba manake wangekuwa wamepata wanawake wote coz kila siku tunakutana nao mitaani
 
Back
Top Bottom