sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
naungana na wewe kwenye hiliKuna mataperi hata ukifanya nini hawarudishi mikopo
Hiyo ni sawa na kubeti. Pata poteaNiliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo yeye yupo mwaka wa mwisho alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie, aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea mesej, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na mesej nimetuma na yakutolea kwenye lile deni,, mambo yalikuwa hayasomeki yani lakini siku ilimeremeta.
Huna akiliNko mwaka wa pili mambo yamebana sina hata Mia mawazo kedekede nahisi kama dunia imenitenga ...nikawaza Acha nifanye usafi wa geto ,nikasafisha geto nikamaliza nikatoa nguo ili nifue nikafua mashati na t-shirt nikamaliza nika anza kufua suruali ile nagusa suruali ya kwanza nakagua mifuko hehehe nakutana na elfu 30k Akili ilihama hapo hapo isitoshe nilikua na kiu koo linawasha zile nguo niliacha pale pale ratiba ya kufua ikaishia palepale hata geto sikufunga nilienda kusuuza koo mpka Leo sijawahi kurudi ...
Mkuu wewe ni nomaNimeajiliwa sehem nimekaa siku mbili sina kazi yoyote yani naamkia ofsini lakin hamna kazi nafanya , na mkataba sijasaini aisee wenge kama lote ..siku ya tatu kama kawaida nawahi asubuhi nakaa ofsin bila kazi mida ya saa nne napewa taarifa nijiandae kwa safari ya miezi sita nje ya ofsi nikafanya logistic za safari nikapewa pesa yote ya miezi sita ...kilichofata hehe ..!
Nko mwaka wa pili mambo yamebana sina hata Mia mawazo kedekede nahisi kama dunia imenitenga ...nikawaza Acha nifanye usafi wa geto ,nikasafisha geto nikamaliza nikatoa nguo ili nifue nikafua mashati na t-shirt nikamaliza nika anza kufua suruali ile nagusa suruali ya kwanza nakagua mifuko hehehe nakutana na elfu 30k Akili ilihama hapo hapo isitoshe nilikua na kiu koo linawasha zile nguo niliacha pale pale ratiba ya kufua ikaishia palepale hata geto sikufunga nilienda kusuuza koo mpka Leo sijawahi kurudi ...
Siku niliyo tahiriwa baada ya kutoka pale kitandani nilifurahi sana ,maana nilikua naiwazia sana Jando vitisho vingi mara ooooooh inauma sana,kumbeeNiliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie.
Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji nimetuma na yakutolea kwenye lile deni.
Mambo yalikuwa hayasomeki yaani, lakini siku ilimeremeta.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku nimenunua gari ya kwanza kwa pesa cash.
Yaani naamka usiku nalichungulia dirishani. Usiku silali kwa mawenge, nawaza safari tu. Yaani nilikua nawahi kazini hatari. Mida ya lanch naweza toka mpaka parking just nilione tu. Ikifika mida ya jioni ndio mawazo yote yanahama hapo kazi haziendi nawaza jinsi gani nitaendesha back home.
Phaler weweHuna akili