Ni simu gani unayotumia sasa?

Ukiona bado upo kwenye mijadala ya aina ya simu unayotumia ujue bado una safari ndefu sana!
Na wewe kule kwenye jukwaa la wimbo gani unaosikiliza sasa hivi mbona upo sana kule mkuu ?

Au kuna uzi wowote wa maana umeshawahi kuweka humu ?

Punguza mikazo kwenye baadhi ya mambo hasa humu mitandaoni, kila mtu ana maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…