Unaonesha ni muoga wa kuibiwa.Hiyo staili ni kama pingu ya kumzuia kufanya movement wakati wewe umepitiwa but...Mi nipo single bhanaa.....
Ila km nikija kuwa nae No.1 itanifaa sana
Kumbe upo single.. Jovitha?Mi nipo single bhanaa.....
Ila km nikija kuwa nae No.1 itanifaa sana
Yani hiyo No. 1 sio Style kabisa Mkuu...Nikimpa mtu hiyo namba moja huwa harudii tena, sijui kwanini[emoji34] [emoji34]
No. 1 haikufai Jovitha, una kitambi.Mi nipo single bhanaa.....
Ila km nikija kuwa nae No.1 itanifaa sana
Nadhani kitambi ndio poa zaidi maana kina feeling za sofa.No. 1 haikufai Jovitha, una kitambi.
Je umeishapata majibu mwafaka ya kupunguza kitambi chako?
Duh, aisee hapo lazima nirushe ngumi za dabo tena za shingoYani hiyo No. 1 sio Style kabisa Mkuu...
Na ukishapitiwa na usingizi basi kitakacho fuata hapo ni kutiwa kidole tuu.
Hiyo Style labda inawafaa wapemba tuu maana Ndio zao.
Yani mkeo umpe makombora ya Kim Jong ya namna hiyo Mkuu...?Duh, aisee hapo lazima nirushe ngumi za dabo tena za shingo
Kwanini Jovitha?Umejuaje kuwa ana kit.Mi sikumlenga yeye but nimeongelea the way hicho kitu kilivyo.[emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jovitha kuna ukweli hapaa ??
Unauhakika acheni kuongea vitu msivyokuwa na uhakika navyoooNo. 1 haikufai Jovitha, una kitambi.
Je umeishapata majibu mwafaka ya kupunguza kitambi chako?