Ni Staili Gani Unapenda kulala Na Mpenzi wako??!

Ni Staili Gani Unapenda kulala Na Mpenzi wako??!

Mimi nitajifunza nikimpata maana inategemea mwana wa kike huyo na mazoea yapi katika ulalaji.
 
Hizo style inategemea uko sehemu gani mfano huku dar kwa sasa au leo kuna baridi hatari mnaweza mkalala hivyo ila wakati wa joto sidhani kama kuna mtu atataka alaliwe hivyo!
 
Yani hiyo No. 1 sio Style kabisa Mkuu...
Na ukishapitiwa na usingizi basi kitakacho fuata hapo ni kutiwa kidole tuu.

Hiyo Style labda inawafaa wapemba tuu maana Ndio zao.
Duh, aisee hapo lazima nirushe ngumi za dabo tena za shingo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jovitha kuna ukweli hapaa ??
Kwanini Jovitha?Umejuaje kuwa ana kit.Mi sikumlenga yeye but nimeongelea the way hicho kitu kilivyo.[emoji124] [emoji124]
 
No. 1 haikufai Jovitha, una kitambi.
Je umeishapata majibu mwafaka ya kupunguza kitambi chako?
Unauhakika acheni kuongea vitu msivyokuwa na uhakika navyooo

Kitu kidogo tuuu priii ptiii priii[emoji57] [emoji57] [emoji109]
 
Back
Top Bottom