Ni Staili Gani Unapenda kulala Na Mpenzi wako??!

kulala ukiwa umegusana na mtu ni kero asee,,yan mi nkilalaga na goma mambo ya kugusana ni wkt wa shoo tuuu
 
Maelezo mengine ya baadhi ya thread ni tata.

What next..

Hata majibu nayo yaweza kuwa tata pia.

Sina mpenzi, nikimpata bado hapo hakyna style ya kuridhisha kulala nae.

Keep in touch.
 
Yoyote ili mradi mikono yake 2 iwe imeushika mwili wangu kwa ujumla na ndo maana ubonge sana siutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…