Ni starehe au Mateso!!

Ni starehe au Mateso!!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
This is known as 'a suicide'.

pombe.jpg
 
Ponda raha mwanawane kufa kwaja
..Ah! wapi...Raha? wanaonekana ni aina ya watu waliopoteza matumaini kama sio muelekeo wa maisha. Hayo mapombe na hilo ghetto godoro chini hakuna raha hapo ulevi ukiisha kila mmoja anarudia shida zake za awali....Hovyo ooo!!!
 
Hawa jamaa inaelekea ni majambazi waliokwisha fanikisha uhalifu wao na hapo walikuwa wanajipongeza mafichoni kwao!! we angalia mamisuli yao ndio utajua, na hapo walipo nadhani ni temporally shelter!!
 
kula mayi baba.msitudanganye hao wanafanya promotion hivyo vinywaji vyote vinasambazwa na kampuni moja.
 
This is known as 'a suicide'.

pombe.jpg

Ahahahahahahahaaaa....duuuh ebana eeeh nimecheka kweli.....duuuh....ukisikia full kujiachia ndio huko sasa.

Yule wa kushoto mwenye suruali nyeusi ni mzalendo Teamo.....huyo aliye kifudifudi hapo katikati ni mkemia Aspirin......na mazee Bigirita ndio huyo hapo aliye chali upande wa kulia.....

Yaani bado nacheka....machizi wako chicha hadi wamezima kabisa.....halafu hapo ukute ndio wanakoroma sasa....aaah huu ulabu huu....una viroja kweli kweli
 
Ulevi wa namna hii miaka hii watoto wa kihuni hawachelewi kukupasulia mayai
 
kula mayi baba.msitudanganye hao wanafanya promotion hivyo vinywaji vyote vinasambazwa na kampuni moja.

duh basi hii ndio itakuwa promotion hovyo kuliko zote.....kama ukinywa hivyo vinywaji matokeo yake ndio haya sijui kama watapata wateja...

 
hivi unahisi mwanamke akijitokeza hapo nini kitatokea?
 
Kwa upande wa bongo, hayo ndio maisha bora kwa kila Mtzzzzzz !! we achaa tuu !!! hali ngumu kweliiii !!!
 
Huyo aliyelala kaweka makalio juu mmm pande za kwetu tanga sijui kama wangemuacha
 
Back
Top Bottom