Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Ah! wapi...Raha? wanaonekana ni aina ya watu waliopoteza matumaini kama sio muelekeo wa maisha. Hayo mapombe na hilo ghetto godoro chini hakuna raha hapo ulevi ukiisha kila mmoja anarudia shida zake za awali....Hovyo ooo!!!Ponda raha mwanawane kufa kwaja
This is known as 'a suicide'.
![]()
kula mayi baba.msitudanganye hao wanafanya promotion hivyo vinywaji vyote vinasambazwa na kampuni moja.
This is known as 'a suicide'.
![]()
hivi unahisi mwanamke akijitokeza hapo nini kitatokea?
hivi unahisi mwanamke akijitokeza hapo nini kitatokea?
.....labda atabakwa!kutatokea nini?