Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Books
Meditation
Writing

No sex
No alcohol
No cigarette no marijuana/weed

The game of life ,Always needs cleanest life style as to get on top easily.
 
NImekuelewa sana. Kuna wakati huwa nahisi nina tatizo mana sipend sex holela.
Fikiria starehe ya uende mbuga za wanyama, unakul chakula cha asili, wine pemben na mziki uupendao.
Fikiria ukuwe live band kama ya fally au fere, huumwi, unakula nyama ya kuchoma na saladi, na mvinyo usiochacha, mnashare story za dunia namna inakwenda, hasa jinsia iwe aina moja, dah!
Ngono ni too emotional and self destructive.
....LIVE RESPONSIBLY!
Sex is overrated ,Mimi napenda Sana nature kula ,kunywa na kuchoma nyama huku nasikiliza mziki mzuri na kusoma kitabu taratibu
 
Back
Top Bottom