Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #401
Sina mkuu, coz hiyo post nilitoa mda mrefu kidogo, labda nikupe link za movie na series udown loadhata phone number za huyo jamaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mkuu, coz hiyo post nilitoa mda mrefu kidogo, labda nikupe link za movie na series udown loadhata phone number za huyo jamaa?
Mdogo angu..... childhood memories nimekaa sana hapo kijereshi.....Kuna Jamaa yupo igoma, anaitwa Paschal aisee ana vyuma ni 🔥🔥.
👉Zisizotafasiriwa na zilizotafasiliwa
Aaaah! hizo mb nitazitoa wapi? wakati nilifuta kile kitongaSina mkuu, coz hiyo post nilitoa mda mrefu kidogo, labda nikupe link za movie na series udown load
Pamoja sana mkuu. 👊👊I mean no malice to nobody, nawatakia kheri katika kusheherekea sikukuu ya Eid vijana wetu kina Bantu Lady, Dahan, Analyse, Kanali G, fyddell, stow away, Mzee wa kupambania, National Anthem, trudie, Poor Brain, Madame S, Extrovert, SteveMollel, leadermoe, Lovelovie, Antonnia , Chaliifrancisco and everyone else
Apostle namsimuliaga wife harakati zako anacheka sanaa...😂😂🤣🤣😂😂Pamoja sana mkuu. 👊👊
Mwambie mjini mipango 😅😅Apostle namsimuliaga wife harakati zako anacheka sanaa...😂😂🤣🤣😂😂
Mimi napenda Sana adventure mkuu.
Asante sana nawe nakutakia Eid njema na yenye kufanya sana. One love buddyI mean no malice to nobody, nawatakia kheri katika kusheherekea sikukuu ya Eid vijana wetu kina Bantu Lady, Dahan, Analyse, Kanali G, fyddell, stow away, Mzee wa kupambania, National Anthem, trudie, Poor Brain, Madame S, Extrovert, SteveMollel, leadermoe, Lovelovie, Antonnia , Chaliifrancisco and everyone else
I mean no malice to nobody, vipi umesha acha kabisa kupiga mitungi😀😁Asante sana nawe nakutakia Eid njema na yenye kufanya sana. One love buddy
Nakuombea kheri Kaka, hope utamkumbuka ndugu yako aunt mpwayu😀😁Mimi napenda Sana adventure mkuu.
Siku nikiwa na hela nitakuwa mtu wa kusafiri Sana,hasa kutembelea sehemu zenye nature nzuri Kama Lushoto.
I mean no malice to nobodyNasoma comments...
Haha kuacha kabisa bandugu dah, ika najicontrol now nikiamua kunywa nakunywa kiasi nikiamua kutulia natulia. Kuacha kabisa si mchezo mzee Bab na maisha haya ya stresses😆😆I mean no malice to nobody, vipi umesha acha kabisa kupiga mitungi😀😁
Basi ni vyema mkuu, Kama umeweza kujicontrol kimwili na kirohoHaha kuacha kabisa bandugu dah, ika najicontrol now nikiamua kunywa nakunywa kiasi nikiamua kutulia natulia. Kuacha kabisa si mchezo mzee Bab na maisha haya ya stresses😆😆
Duh, vipi harufuKugongana na wadada/wanawake wenye makalio makubwa, hii starehe sijui km nitaiacha hiziView attachment 2589945
Nawe to hoja zako,Nasoma comments...
Harufu gani Tena mkuu😀😁Duh, vipi harufu