Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Napenda kuangalia mashine mpya au technologia mpya iliyogunduliwa duniani ya kitu chochote japo navutiwa zaidi na Mchines. Yaani naweza kukaa kwenye Computer hata siku nzima nafuatilia (new discoveries)
Hivi vitu (machines/gadgets) vinakuja madukani vya new tech mnavishangaa pengine mimi navifahamu vizuri miaka tatu iliyopita.....
I appreciate that bro, je unapenda technology kuhusu nini 👉medicine, cars, food production au ipi??
 
Ngono zembe...hii kitu hata wakisema Yesu anarudi leo sitoboi.!!!
Kingine ni kupiga chabo, yaani napenda chabo jamani asikwambie mtu!
Yaani iwe chabo ya live au hata niambulie sauti tu(audio)
 
Sijui kama nitakuja kuacha kubishana Yanga na Simba! Yaani ninavyoipenda Yanga huwa sitaki mtu aiseme vibaya halafu mimi ninyamaze!
I mean no malice to nobody, keep enjoying unachopenda. Ila kuwa makini Kuna wengine wanabeba hadi mapanga😁😀
 
Uraibu wangu ni vitabu. Nasoma sana vitabu.😀😀. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha Pius High School. Ni shule ya kutwa na Bweni yenye mazingira Bora sana. Tunapokea wanafunzi wa KIDATO Cha Tano Kwa muhula wa masomo 2023/2024 katika tahasusi zifuatazo PCB, PCM, CBG, EGM, HKL, HGL, HGK, PGM na HGE. Uteuzi unategemeana na matokeo ya KIDATO Cha nne 2022. Muombaji anatakiwa kuwa na angalau D mbili katika tahasusi anayotaka kusoma na matokeo ya jumla ya daraja la tatu. Tunapokea pia wanafunzi wa kuhamia Kwa KIDATO Cha kwanza, tatu na sita Kwa mwaka 2023. Ada zetu ni nafuu na hulipwa Kwa awamu. Kwa maelekezo zaidi, tafadhali wasiliana nami 0613162459. Shule ipo kata ya Toangoma-mbagala, Dar es salaam. Karibuni.
Hongera kwa starehe yako, ila kuhusu shule. Nakushauri uwekeze kwenye matangazo ya Kulipia ili kufikisha ujumbe kwa hadhira kubwa.
👉Mfano redioni na channel za tv
 
Back
Top Bottom