Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Mm sio mwanamkeAlafu nimegundua wanawake mnapenda sana sex, kuliko Sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sio mwanamkeAlafu nimegundua wanawake mnapenda sana sex, kuliko Sisi
mkuu kuwa makini, wanasema mo energy sio nzuri ukitumia kwa wingi Sana.
😁😀, Jamaa alianza kujivutia kimtindo. I mean no malice to nobodyMm sio mwanamke
Mkuu tuko pamoja, games ni moja ya starehe yangu pendwaMpiira na Playstation sitokuja kuacha, nitacheza hadi na wajukuu
Miss cocochanel vipi Tena??Mmmmh 🤔🤔🤔
Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.
kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie kaburuni.
👉Misosi- najua mtasema kila mtu anakula, ila kwa upande wangu bhana naona imezidi.
Maana nimeshaifanya kesi, kila nikikutana nacho ni mpaka mmoja wetu anyooshe mikono juu (hapa adui yangu nimemzidi aisee) napakia kiukweli, iwe ugali,wali,ndizi na hata iwe kachumbariView attachment 2490252
View attachment 2490253
Kucheza magame, wakati nakua hili swala lilinafanya nitandikwe Sana na wazazi.
Kwani ilikua huniambii kitu linapokuja swala la kucheza game-nimetumia gameboy, PlayStation.
Mpaka leo imepelekea kuwa Kama moja ya mila na tamaduni zangu, siwezi kukaa bila kucheza magame iwe kwenye pc, PlayStation na hata kwenye simu.
Nimecheza game Kama 👉 asphalt series zote.
👉Pes hadi ya mwaka huu.
👉 Brother in arms 2&3
👉Call of duty.
👉Motorcombat iwe la porin au jeshi.
👉Fifa
Kusoma vitabu, huu ni mmoja ya utaratibu wangu unaonivutia sana.
I didn't have a great childhood life. hivyo niliamua kufunga ndoa na vitabu, nimesoma vingi Sana,ambavyo vilinisaidia kujifunza na kuelimika Sana.
Baadhi ya vitabu nilivyosoma katika Safari yangu hii👉magic of thinking big
👉The 5am club
👉The godfather
👉 Retire young, retire rich.
👉The billionaire of tommorow.
👉What the future.
👉Alex rider
👉 Intelligent investor.
👉Elon musk
👉 Business in Africa.
Hiyo ni list ya baadhi tu, so unaeza tafuta ukajifunza na kufurahia pia.
Kutazama movie,series na documentary, Mimi ni jobless wa kimataifa.
hii imekuwa fursa kubwa kwangu, kwani imenipa nafasi ya kufatilia series na movie nyingi sana.
ziwe crime,horror,drama, investigation, na hata animation. List ya series nilizotazama👉money haseist
👉24 hours.
👉Prison break
👉 Vikings
👉Dracula
👉Jumong
👉Iris
👉 Harry Potter
👉Lord of the rings.(smigo)
Acha niendelee kufurahia uwepo wangu duniani.
wametokea washauri wengi "eti punguza", ninachowajibu ni kwamba wao ni wageni kwenye maisha yangu hivyo wanaeza kwenda..
Ni vitu gani imekuwa ngumu kwako kutengana navyo??
Kuandika tu 😊🤦🏾♀️Miss cocochanel vipi Tena??
Bila magwaya kusepa sirud manMpira wa ulaya - mimi na manchester united ni kama hadithi ya romeo na juliett.
Pole kwa janaMpira wa ulaya - mimi na manchester united ni kama hadithi ya romeo na juliett.
Hiyo si starehe yangu pendwa, mi ni movie, misosi, game na musicMbona sijaona kula mbususu
Tupo same league bro, misosi ndo kabila languNapenda kula chakula kizuri.
Inaweza kuwa ngumu kwako, ila kweru inawezekana. Kumbuka 👉 there is no impossible coz the word itself says I'm possible- kusoma vitaba na Kupenda game ni vitu ambavyo huwezi kuwa na utumwa navyo vyote..... Ngumu sana,
Mzee baba Kama umeoa, kuwa makini wajomba wasilale njaa. Kisa chiniKuhonga ni starehe sana
Inaweza kuwa ngumu kwako, ila kweru inawezekana. Kumbuka 👉 there is no impossible coz the word itself says I'm possible