Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Nyeto...aisee hakuna atakae niambia kitu nikamuelewa...Huwa Ina nisaidia sana kabla sijahonga chochote Huwa napiga nyeto, mara 1...lengo la kuhonga likiwepo napiga tena mara ya pili...[emoji3059][emoji3059][emoji3059] Hata wewe ndugu msomaji nakushauri kabla hujahonga hakikisha unapiga nyeto walau mara 2 utakuja kunishukuru baadae...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpiira na Playstation sitokuja kuacha, nitacheza hadi na wajukuu
Ulevi wa asili....m hapo utaniua tu,kuna kipindi kazi zinanibana siendi tizi hata mwezi,ila siku nikiwa free naibuka ground....kwenye ps nisiseme sana make kuna watu walitabiri sito graduate kwa sababu ya hizi mambo ila niliwa prove wrong
 
Ujue S*x Sio hobby na ndio sababu nakubaliana na wengi kuwa iko pia overrated
hicho ni kitu kipo tu, sana sana ukute hormone zako zipo juu hivyo upo active zaidi (muda wote upo hot)
Na ndio wengine huishia kusema hata maisha yakiwa tight, starehe inayobakia ni S*x kwa kuwa ni kitu pekee watu wote/wengi wana afford....
 
💯 I mean no malice to nobody
 
Mmmmh 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom