Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

We Ni muongo ufanye vitu hvyo kwa wakt mmoja mara movie ,kula,kusoma viatbu,kucheza game mbna muongo mm sipendi vijana waongo waongo shenzi san
Dah mkuu ndo naona leo, kwani haiwezekani mbona si hatujapinga zako. I mean no malice to nobody
 
Hata Mimi nimemtafakari sana[emoji23]

Ukimuuliza hobby yake sijui itakuwa reading books, Eating, watching Movies au Playing games au zote

So Amazing....!

Sent from my Samsung Galaxy A13
Dah punguza makasiriko Kama umekosa uji wa msibani, I mean no malice to nobody
 
Back
Top Bottom