Ni starehe ipi huwezi kuifanya hata ushawishiwe?

Ni starehe ipi huwezi kuifanya hata ushawishiwe?

🤣🤣🤣🤣 oyaaaa
Mary jane iko kwa forehead. Nikupasie paff kidogo tujimalize? Maana hamna konyagi ya baridi
Hiyo paff nina wasiwasi nayo.
Siku hizi chuga mnatuona hatujua ladha, mna tuuzia taka taka sana.
Mimi nikiwa huko naenda mwenyewe buchani kisimiri au olkokola.
Nikikosa bora skanka tu😀
 
Olkokola ndiko nilipata nauli ya kwenda masomoni huko🤣
Hiyo ya kenya nakubali, japo inatolewa hapo olkokola na tarime.
Sasa ukichukulia Kenya ndio inakuwa OG ojijo 🤣🤣

Wee usinambie? Sema Olkokola pazuri ukiondoa shida ya maji na lile vumbi. Pana vumbi orijino kama unga wa ngano
 
Sasa ukichukulia Kenya ndio inakuwa OG ojijo 🤣🤣

Wee usinambie? Sema Olkokola pazuri ukiondoa shida ya maji na lile vumbi. Pana vumbi orijino kama unga wa ngano
Olkokola pazuri kipindi cha mvua. Very green
Nenda kiangazi, hujui kokoo ni yupi na mtoii ni yupi. 😅
 
Back
Top Bottom