Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hello 👋
Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk
Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari
Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na nyumba inapiga wimbo wa ccm na mkoa huo wengi ni CUF sasa walivyosikia hivyo akasikika member mmoja akasema huyo anajifanya mwana ccm kindakindaki nyumba yake yenywe haitaji petrol kuchoma ase tukicheka sana
Nyingine juzi hapa nilikuwa kwenye mwendokasi picha inaanza kapanda mdada anamkoba sasa hakumuona mtoto chini akawa kaweka begi kichwani make akaibuka mzee anafoka wewe dada muonevu jambo ambalo kila mtu alikuwa aanashangaa
Wakati mgogoro uho ukiendelea akatokea mama mmoja anasema dereva shush hapo kuna mwanafunzi anashuka uku anamwambia pita haraka wasije kukupitisha akaibuka mzee anamjibu uyo mama hii sio daladala uhu ni mwendokasi kila kitu inasimama au wewe wa mbagala mgeni na mwendokasi?
Mama nae hakutaka kushindwa mimi sio mgeni mjini hapa kwa rafuzi ya kizalamo najua sana au wewe mwezetu wa masaki mbona una nongwa sana 🤣🤣🤣🤣
Mzee akajibu wewe watandale na hujawi panda mwendokasi wewe
Nilikuwa nacheka sana mpaka kufika home