Ni story gani au mada gani uliikuta kwenye chombo cha usafiri ukaishia kucheka?

Siku moja natoka Dar naenda Mbeya katikati ya mikoa huko basi likawa linajaza abiria njiani wa kutosha mda huo nilikuwa nimekaa na mtoto pisi kali mmoja, hatuna stori kila mtu kasinzia kivyake si baada ya muda nikasikia harufu kali ya uvundo kwa kuwa nilikuwa nimeekti kusinzia nikakausha hadi ikapita, baada ya muda ile harufu ikajirudia, nilishindwa kujizuia nikamgeukia yule dada nikamkata jicho kali la hasira dada akaniambia "samahani fungua kioo kidogo"
Basi nikafungua ukaingia upepo mkali harufu yote ikapelekwa nyuma nikafunga kioo haraka nikasikia miguno ya chini chini safari ikaendelea.

Basi baada ya muda ikasikika harufu kali ya uvundo gari zima ikawa kelele walio sinzia wakaamka kumbe kuna njema ilikuwa imesimama pembeni yetu ilikuwa inamwaga pumzi mdogo mdogo na safari hiyo ilikuwa imehara kabisa ikabidi ashushwe apewe maji akamalizie mzigo porini kurudi abiria wakagoma akae hukohuko kwa dereva asirudi pale alipokuwa amfkaa mwanzo.
 
Iyo noma sana mkuuu dah alishindwa kusema
 
Kuna siku nilikua natoka mbagala zakiem naelekea chamazi ndio ilikua safari yangu ya kwanza kutembelea maeneo hayo.

Sasa Kuna kituo kinaitwa bamia wenyeji mtakua mnakifahamu, tulipofika maeneo hayo kwa sauti kubwa nilimsikia konda wale wa kibamia wajiandae daah!
Nilishindwa hata kununa ilibidi nicheke 😅
 
Na ww wakakushngaa
 
Back
Top Bottom