Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

Nashangaa!!! Wengine wote wanapewa awamu 2 huyu hawataki!!! Mfumo Dume shida sana
 
Mbona alipigiwa kura 100% za kuwa Mwenyekiti wa CCM? Kama hawampendi mbona hawakupiga kura za hapana?
 
wewe unayedanganya kuwa ulifanya reseach vijijini wakati ni uongo ndio unasema hatubishani kutafuta mshindi???? .... ujinsia ni wewe kumuangalia mtu kwenye miwani ya ujinsia!,...wewe tutabishana mpaka kesho nadhani, SHE IS NOT REJECTED MATERIAL, SHE HAS NOT DONE ANYTHING WRONG,SHE HAS CONSTITUTIONAL RIGHT TO RUN FOR PRECIDENCY, now BYEEEEEEEEEEEEEEEE
 
hahahahahha
 

Upepo gani??? Mwacheni mama agombee hayo mengine ni ya kwenu, wananchi wanaochagua viongozi hawana tatizo na mama.....
 
na iwe hivyo 2025 tupate WAPIGA KAZI NA SIO UMBEA
 
Ni kweli wanawake wapo wengi, ila hao hao wengi hawampendi(mitandaoni) na hata wasiojua mitandao wengi hawampendi(rejea research ndogo tu za wanawake wenye hali duni wa eneo lako). Sitafuti pa kushikia(ni mtazamo wako), pia sina haja ya kujaji ujinsia wake sehemi nyingine mbali na kura kwani kwenye kura tu ni sehemu TOSHA kudhibitisha ujinsia wake.

Wakati wa JPM ni kweli madaraja hayakupanda, watu hawakuajiriwa na akachaguliwa tena. Ila kwa taarifa yako tu, waliofanya utafiti nyakati zile mimi nikiwa mmoja wapo, ulionesha JPM anakubalika bado na wengi mno pamoja na changamoto zile. Akashinda kwa kishindo.


Nashangaa sijui kwa nini mama anachukiwa na wengi kiasi hiki, hata ukiingia mtandaoni utajua JPM na mama nania anasemwa sana kwa mabaya na watu wengi wakati wa utawala wake. Najiuliza au mama yetu ana gundu? Ila sipati jibu.

Wakati wa JPM mpaka watu walidirki kusema kuwa hata kama anaitwa dikteta ila wapo tayari kumpa nchi dikteta ambaye anafanya maendeleo ya wazi.(Hii ni heshima kubwa).

Swali: je, kwa nini mama hapendwi na wananchi walio wengi mpaka muda HUU wakati kama ni ugumu wa maisha hata kwa JPM ulikuwepo?

Ukijibu nitakujulisha kitu.
 
Mbona alipigiwa kura 100% za kuwa Mwenyekiti wa CCM? Kama hawampendi mbona hawakupiga kura za hapana?
Lini alipigiwa hizo kura? Kuwa mwenyekiti ni tofauti na kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama. Niambie ni lini alipigiwa(mwezi gani)?
 
na wanawake ni wengi kuliko wanaume, itaendelea kushinda tu. Afu kwa taarifa yako ccm haijaanza kuwa ya wanawake leo hii, ni ya wanawake tangiapo.
 
Upepo gani??? Mwacheni mama agombee hayo mengine ni ya kwenu, wananchi wanaochagua viongozi hawana tatizo na mama.....
Na ndio maana nakuambia fanya research ndogo mno huhitaji hela nyingi. Tembea hata nyumba kumi uliza, utapata majibu.
 
Kwahiyo kitakua chama cha masingle maza sugu
 
Sasa mbona hueleweki? Mimi sijabisha kuwa hana haki, ila vikwazo nimeshavisema. Elewa basi, sio vita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suala la utafiti ni kweli nimefanya japo sikushiriki. Tena nilifanya katika kijiji kimoja tu nilichohitaji, na hata Uswahilini kwenys watu wengi nimefanya. Inaonekana unafikiri research ni kitu kikubwa mno kwako[emoji23]
 
Ushauri mzuri sana huu kwa SSH
 

hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
 
Lini alipigiwa hizo kura? Kuwa mwenyekiti ni tofauti na kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama. Niambie ni lini alipigiwa(mwezi gani)?
Kwani wakati anathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa CCM hakupigiwa kura? Mbona alipata 100% ya kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…