Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi.

Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada.

Gwajima kwa sasa ni ama aanzishe mpango wa kujiuzulu maana ni kama anahujumu mkakati wa serikali ambayo chama anachokiwakilisha ndicho kinachoiongoza.

Ninachojua ni kuwa CCM huwa ni waoga mno wa kuchukua hatua kwa wakati. Siyo kama Chadema ambamo ninaamini kuwa muda huu Gwajima angekuwa mbunge wa mahakama.

Gwajima amewanyea viganja vyote viwili na bado anaelekeza gogo kinywani naamini akifika kinywani itawalazimu kumfukuza. Ninachojua ni lazima apeleke gogo kinywani.

Kina Mayalla naona wanaanza anza kupiga jaramba maana sisi Chadema hatutashiriki hicho kijiuchaguzi uchwara!
 
Itakuwa uonezi..yeye anauliza hoja za kisomi sasa kwaninj hawajibu hoja zake?Haya ndo magufuri alikuwa akiuliza juu ya kuambiwa afanye lockdowan matokeo yake wakamuua. Kama walivua marais wengine waliohoji kama vile rais wa Hait..juzi haoa madagascar etc
 
Itakuwa bora Sana,mtu mwenyewe alishindishwa na yale makaratasi ya kwenye vibegi,Ashukuriwe Mungu kwani wanaanza kula matunda ya mikono yao.

Ngojeni apeleke moto kwanza!
 
Iatkuwa uonezi..yeye anauliza hoja za kisomi sasa kwaninj hawajibu hoja zake?Haya ndo magufuri alikuwa akiuliza juu ya kuambiwa afanye lockdowan matokeo yake wakamuua.Kama walivua marais wengine waliohoji kama vile rais wa Hait..juzi haoa madagascar etc

Yaonesha kauliza hoja kisomi zenye usomi kuzidi watengeneza chanjo.

Hiiiiii bagosha!
 
2 Tim 4:7-8

"Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake"
 
Iatkuwa uonezi..yeye anauliza hoja za kisomi sasa kwaninj hawajibu hoja zake?Haya ndo magufuri alikuwa akiuliza juu ya kuambiwa afanye lockdowan matokeo yake wakamuua.Kama walivua marais wengine waliohoji kama vile rais wa Hait..juzi haoa madagascar etc
Ni ujinga kudhani kuwa chanjo ipo kwa ajili ya kuwaua kina Gwajima ambao hata uelewa hawana. Imagine chanjo wameanza kuchanja hao hao wenye chanjo sisi tunakuwa wa mwisho halafu tunawalaumu eti wanataka kutuua ili waje watuibie ardhi.

Yani huenda sisi watanzania tuna Mungu wetu wa kipekee. Yani tumejaza tu ujinga vichwani mwetu.
 
Kwa vipimo hivi kwa asilimia kubwa ya watanzani,yafaa tuupitie upya mfumo wa elimu.Kama haiwezi kuwasaidia watu wake kwa viwango ninavyo shuhudia,hii ni aibu kubwa kwetu na taifa letu.
 
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi.

Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada.

Gwajima kwa sasa ni ama aanzishe mpango wa kujiuzulu maana ni kama anahujumu mkakati wa serikali ambayo chama anachokiwakilisha ndicho kinachoiongoza.

Ninachojua ni kuwa CCM huwa ni waoga mno wa kuchukua hatua kwa wakati. Siyo kama Chadema ambamo ninaamini kuwa muda huu Gwajima angekuwa mbunge wa mahakama ya maccm.

Gwajima amewanyea viganja vyote viwili na bado anaelekeza gogo kinywani naamini akifika kinywani itawalazimu kumfukuza. Ninachojua ni lazima apeleke gogo kinywani.

Kina Mayalla naona wanaanza anza kupiga jaramba maana sisi Chadema hatutashiriki hicho kijiuchaguzi uchwara!

Gwajima aliingia Ubunge enzi za JIWE alijua atakuwa waziri ili azidi kuteka misukule,sasa jiwe "KASEPA" ,kwasasa ndoto zimepotea hana cha kupoteza ndio maana anabwatuka tu.
 
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi.

Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada.

Gwajima kwa sasa ni ama aanzishe mpango wa kujiuzulu maana ni kama anahujumu mkakati wa serikali ambayo chama anachokiwakilisha ndicho kinachoiongoza.

Ninachojua ni kuwa CCM huwa ni waoga mno wa kuchukua hatua kwa wakati. Siyo kama Chadema ambamo ninaamini kuwa muda huu Gwajima angekuwa mbunge wa mahakama ya maccm.

Gwajima amewanyea viganja vyote viwili na bado anaelekeza gogo kinywani naamini akifika kinywani itawalazimu kumfukuza. Ninachojua ni lazima apeleke gogo kinywani.

Kina Mayalla naona wanaanza anza kupiga jaramba maana sisi Chadema hatutashiriki hicho kijiuchaguzi uchwara!

hatutashiriki uchaguzi mpaka KATIBA mpya ipatikane[emoji2133]
 
Gwajima ni kama ameamua liwalo na liwe, anamchukulia poa Samia, ila kuondolewa ubunge hilo sahau inaonekana kwa nje hakupewa ubunge na chama alipewa na wananchi, wakati ukweli ni kwamba alipewa ubunge na chama chake kwa wizi wa kura uliovunja rekodi duniani.
 
Gwajima ana ghadhabu za kukosa uwaziri. Mvumilieni tu. Hili nalo litapita!
 
Back
Top Bottom