Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anasema - mguse unuke.Laana ya kuvuruga uchaguzi inawatafuna CCM.
PointUzuri katika suala kama hili la corona anachohubir gwajima na uhalisia ulivyo ni vitu vuwili tofaut,anaeonekana chizi ni yeye gwajima na wanaomsikiliza,serikali imeshasema Chanjo ni hiyari,sasa kelele za nini?
Mkuu CCM wanajuana, wakati wa Magufuli Hussein Bashe alikuwa akirusha kila aina ya maneno hadi ikafikia wakati akatupia maneo TISS. Wote tulidhani Bashe anaenda kufukuzwa CCM, kilichotokea Bashe akapewa uwaziri.Gwajima ni kama ameamua liwalo na liwe, anamchukulia poa Samia, ila kuondolewa ubunge hilo sahau inaonekana kwa nje hakupewa ubunge na chama alipewa na wananchi, wakati ukweli ni kwamba alipewa ubunge na chama chake kwa wizi wa kura uliovunja rekodi duniani.
We unawaamini vipi mkuu kama wamechanja mnachotaka kuchanjwa?Ni ujinga kudhani kuwa chanjo ipo kwa ajili ya kuwaua kina Gwajima ambao hata uelewa hawana. Imagine chanjo wameanza kuchanja hao hao wenye chanjo sisi tunakuwa wa mwisho halafu tunawalaumu eti wanataka kutuua ili waje watuibie ardhi.
Yani huenda sisi watanzania tuna Mungu wetu wa kipekee. Yani tumejaza tu ujinga vichwani mwetu.
Siasa haziendi hivyo, hata kipindi Cha mwendazake akina Bashe kabla ya kupewa uwaziri walikuwa hivihivi.Gwajima ni mhaini. Nashangaa sana kwanini yupo hai hadi sasa.
Gwajima ni mhaini. Nashangaa sana kwanini yupo hai hadi sasa.
Kitengo ndicho kitakachomiweka GwajiBoy 2025 .Gwaji ni kitengo anajua anachokifanya, hata mfumo unajua anachokifanya gwaj boy aka rashid
Hakuenda bali alipelekwa kama sehemu ya kujenga ngome ya kikabila ikiwa ni pamoja na kupatiwa jimbo kwa nguvu.Huyo mtu akuingia CCM kwa sababu anaipenda bali kilichompeleka ni ukabila wakati wa Magufuli na kenge wa dizaini yake wapo kibao.
Huyo mtu akuingia CCM kwa sababu anaipenda bali kilichompeleka ni ukabila wakati wa Magufuli na kenge wa dizaini yake wapo kibao.
That's disre
That's disrespect,Taasis ya urais mbona unaidhalilisha hivyo,yaani gwajima awe presidential candidate?
Akuongoze wewe na ukoo wako
Msizidi kuzalisha wajinga na wapumbavu
Ujinga na utapeli itakuwa ilani yenu ama
most powerful presidential candidate my foot
What a joke!
Nchi imechoka kuongozwa na wenye elimu za kuungaunga chini ya miti
Eti phd
Punguza porojo
Wee jamaa unaota ndoto mbaya sana.
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi.
Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada.
Gwajima kwa sasa ni ama aanzishe mpango wa kujiuzulu maana ni kama anahujumu mkakati wa serikali ambayo chama anachokiwakilisha ndicho kinachoiongoza.
Ninachojua ni kuwa CCM huwa ni waoga mno wa kuchukua hatua kwa wakati. Siyo kama Chadema ambamo ninaamini kuwa muda huu Gwajima angekuwa mbunge wa mahakama ya maccm.
Gwajima amewanyea viganja vyote viwili na bado anaelekeza gogo kinywani naamini akifika kinywani itawalazimu kumfukuza. Ninachojua ni lazima apeleke gogo kinywani.
Kina Mayalla naona wanaanza anza kupiga jaramba maana sisi Chadema hatutashiriki hicho kijiuchaguzi uchwara!