Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

Tuko pamoja hapa
 
aisee ccm imeshatema watu waliodhaniwa watakitikisa chama. gwajima kaingia juzi ccm hana hata miaka mitao eti akitoka ndio mwisho wa ccm?
anatolewa na hawez kuifanya kitu ccm. mtu mdogo sana yule kwenye chama
 
He is most powerful presidential candidate 2025 via ccm. Take it or leave it
gwajima ni presidential candidate.. fukin hell man? seriously?
ccm huwajui ww.

kuna miamba huko ndani ambayo gwajima hawez kuwafikia. hizo ndoto kuwa atateuliwa kuwa mgombea uzifute
 
Red line ipi? Gwajima anauliza hoja za kisomi anatakiwa kujibiwa kisomi shida yenu mlishakaririshwa kufuata upepo unakovuma,mioyo yenu imejaa unafiki,hamuwezi kujisimamia,sababu ya madaraka na Cheo ndo maana leo utasema hivi kulingana na upepo unavyovuma,kesho upepo ukibadiri mwelekeo mtaufuata tena,acheni ateme nyongo zake,amesema mguseni awalipue!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Na fursa ya huohuo ujinga wetu ndio inawafanya watu aina ya Musukuma, Kibajaji na Gwajiboy wawepo
 
Kwan umsikia kakataa kuwa Corona haipo?


Jibu hoja zake kuhusu chanjo we vipi mbona mnakuwa siyo kama wasomi?
Sasa Kama hawaamini wataalamu waliotengeneza Chanjo inakuaje aamini kuwa Corona ipo,wakati hao hao watengeneza chanjo ndio waliogundua uwepo wa Corona? Halafu kaweka Mabomba ya maji inakuaje aamini ushauri wa kutakasa mikono? Yaani unakubali nusu halafu nusu unapinga
 
Gwaji anamdharau Mama....asubiri fitna tunapoka ubunge then kanisa tunapoka kibali....na kesi moja
 
Niambie mpaka Leo watz wamechanja wangapi? Ndio ujifunze kitu.mpaka Jana tz nzima imechanja laki moja na kitu.imekula kwenu hyo
 
Kitengo ndicho kitakachomiweka GwajiBoy 2025 .



JPM aliacha mfumo fulani ivi ndani ya vyombo vya dola kuanzia Kitengo, mpaka polisi.




Hivi mnajua anachokitetea Gwaji...hadi ivo vitengo, wanamuunga mkono[emoji23][emoji23][emoji23]
Yan gwajima na kitengo wap na wap
 
Hata likitangazwa CCM watachukua wao kwa wao hakuna tume huru
 
Yeye ndio alikuwa na kisununu na watu hasa wale waliofanikiwa alitaka awe yeye tu labda na wale waliokuwa wanamuabudu, alikuwa mtu sana.
 
Wamfukuze tu ukizingatia Toka Mkapa na Magufuli watoke hakuna mwenye uwezo wa kudhibiti makundi.
CCM itameguka makundi 2
La msimamo wa Magufuli na Lile la ukitaka kula lazima uliwe.

Mwisho wa siku 2025 ndo itatoa majibu sahihi.
 
Mpaka sasa hakuna mtu ambaye amejibu hoja ya gwajima hata moja.
 
Uhuru wa kutoa maoni
Watu dhaifu niwale wasiopenda kukosolewa.
Gwaj boy yupo sahii na katika jamii mulengo wa kupinga jambo nikawaida kuwepo
 
Huyo mtu akuingia CCM kwa sababu anaipenda bali kilichompeleka ni ukabila wakati wa Magufuli na kenge wa dizaini yake wapo kibao.
Utakuwa mkabila kuliko yeye, hajakuambia, hujaongea naye, unamjua kunambi mbunge wa mlimba? naye kaingizwa bungeni sababu ya ukabila au wewe unahangaika na wasukuma tu, kujenga chuki za kikabila bila kumwelewa kiongozi alikuwa wa aina gani ni tatizo kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…