Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Hata kama hana wowowoo?Akikuuliza "hivi babe unamcheki Mama Yako kule kijijini kweli,lini umemtumia hata pesa ya matumizi?"
Hiyo ni greenlight,ukiweza oa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaniHata kama hana wowowoo?
Una malengo gani na mimi? Sema ndio ivo nlishaacha kutongoza
Litakuwepo maana nna mda kweli sijatongozaHivi hili swali bado lipo kumbe?
Mind game kwa wanawake wenye akili na wajanjawajanja. Si lazima awe anamaanisha akikuuliza hivyoAkikuuliza "hivi babe unamcheki Mama Yako kule kijijini kweli,lini umemtumia hata pesa ya matumizi?"
Hiyo ni greenlight,ukiweza oa!
Unajiongezea credit kwa njemba zilizokutupia mitongozo kunako PM na umeziuliza hili swali.Umeoa?
Hili swali linaheshimisha sababu Binti anakuwa hayuko tayari kua na mume wa mtu...
Swali la kijinga na litalomfanya huyo ke adharaulike ni hili.Una malengo gani na mimi? Sema ndio ivo nlishaacha kutongoza
Jibu langu huwa ndio ila tumetengana yapata mwaka sasaUmeoa?
Hili swali linaheshimisha sababu Binti anakuwa hayuko tayari kua na mume wa mtu...
kwanini na kivip?Swali la kijinga na litalomfanya huyo ke adharaulike ni hili.
Hahahaaaaako mnavyotutongozaga mnakuwa hamtuheshimu [emoji3][emoji3][emoji3]
Shenzi kabisa
Akiniuliza, tena kwa kiingereza, What is the meaning of existance?Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.
Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
Unadhani ni mwanaume gani atakupa jibu la hovyo zaidi ya lile unalohitaji kulisikia kwa wakati huo.kwanini na kivip?