Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.

Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
Hv bado kuna kutongoza sikuhz?

Mtoa mada hebu acha utani. Au unamaanisha jibu la bei atakayotoa?
 
Akikuuliza "hivi babe unamcheki Mama Yako kule kijijini kweli,lini umemtumia hata pesa ya matumizi?"
Hiyo ni greenlight,ukiweza oa!

Huyo ataeuliza hivyo labda sio mzima

From no where umemtongoza tu kakuuliza hivyo haiwezekani

Kwanza ni Kama ameanza kukupangia pesa yako
 
Umeoa?

Hili swali linaheshimisha sababu Binti anakuwa hayuko tayari kua na mume wa mtu...
Ili pia NI SWALI zuri Sana na mwanaume anaejiamin kama ameowa atakuambia Tu nimeowa na nawatoto wawili ,sasa usije ukaniuliza kama nampenda maanake ushaelewa nini kinaendelea
 
mwanamke asiye niomba hela namueshimu sana!
Wanawake wengi hawajui japo wao wanaonaga NI ujanja. usiombee hela mwanaume anayekupenda anajua unaziitaji vinginevyo utaonekana mfanya biashara ,hujithamini na mtu wa ajabu Sana,na kama mtu umempenda na unataka long relationship vunga hata Kwa miez ,jifunzen kuwa washirika badala ya watoto
 
Kwani huna mke?kwani hujaoa? Baada anasoma na radar ya umri anauliza una miaka mingapi? Hivi vindezi naviambia usijali italipa tu haitakuwa ya hasara kwako let's have fun for leisure, namkula namkula hadi namkula tena footwork kama ya Mamelodi players, ball inatembea
 
Back
Top Bottom