Hv bado kuna kutongoza sikuhz?Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.
Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
Akikuuliza "hivi babe unamcheki Mama Yako kule kijijini kweli,lini umemtumia hata pesa ya matumizi?"
Hiyo ni greenlight,ukiweza oa!
Malezi Bora hayajifichi Wala kufake.Huyo ataeuliza hivyo labda sio mzima
From no where umemtongoza tu kakuuliza hivyo haiwezekani
Kwanza ni Kama ameanza kukupangia pesa yako
Malezi Bora hayajifichi Wala kufake.
Ukiona demu ana hizo fantasy basi uko sehemu sahihi
πππAkikuuliza "hivi babe unamcheki Mama Yako kule kijijini kweli,lini umemtumia hata pesa ya matumizi?"
Hiyo ni greenlight,ukiweza oa!
[emoji14][emoji14]Una malengo gani na mimi? Sema ndio ivo nlishaacha kutongoza
Ili pia NI SWALI zuri Sana na mwanaume anaejiamin kama ameowa atakuambia Tu nimeowa na nawatoto wawili ,sasa usije ukaniuliza kama nampenda maanake ushaelewa nini kinaendeleaUmeoa?
Hili swali linaheshimisha sababu Binti anakuwa hayuko tayari kua na mume wa mtu...
Vipi kama ndo anapenda mume wa mtu hataki vijana single barobaro...πUmeoa?
Hili swali linaheshimisha sababu Binti anakuwa hayuko tayari kua na mume wa mtu...
Wanawake wengi hawajui japo wao wanaonaga NI ujanja. usiombee hela mwanaume anayekupenda anajua unaziitaji vinginevyo utaonekana mfanya biashara ,hujithamini na mtu wa ajabu Sana,na kama mtu umempenda na unataka long relationship vunga hata Kwa miez ,jifunzen kuwa washirika badala ya watotomwanamke asiye niomba hela namueshimu sana!
Nini ?
Ndio ukweli nimeacha kitambo sana, labda unifanye nianze tena π
Uongooo hii uongooo [emoji23][emoji23]Ndio ukweli nimeacha kitambo sana, labda unifanye nianze tena [emoji23]
[emoji181]
Uamini kwanini? Hii n kweli sitongozi nmestaafu
Tangu nililipo acha kutongoza kizamani sikutani tena na maswali ya kifala ya hivyoπππUna malengo gani na mimi? Sema ndio ivo nlishaacha kutongoza