Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua mauaji ya huyu ndugu yetu ni serikali yetu ya mama imeshiriki. Wahuni ni watu wabaya sana wanatumia mbinu zote kumchafua mama lakini mwisho wa yote watashindwa tu. Huu utekaji umeshamiri sasa hivi baada ya wahuni kutimuliwa kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa vile wabongo wengi ni wapumbavu wataamini ni serkali ndio imefanya upuuzi huu.
Mkuu ukweli n kuwa chura kiziwi anazingua kawaachia watu waendeshe nchi wakimwaminisha kuwa watamsaidia 2025,ki kina february unawaonea tu kuwa wana uwezo wa kumilik genge la kuweza kuteka na kuua bas wanaweza pindua nchi,nchi haiko salama tena.
 
Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,

Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.

Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.

Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..
 
Mtoto wa kahaba wewe
 
Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua mauaji ya huyu ndugu yetu ni serikali yetu ya mama imeshiriki. Wahuni ni watu wabaya sana wanatumia mbinu zote kumchafua mama lakini mwisho wa yote watashindwa tu. Huu utekaji umeshamiri sasa hivi baada ya wahuni kutimuliwa kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa vile wabongo wengi ni wapumbavu wataamini ni serkali ndio imefanya upuuzi huu.
Ukisema tu wabongo utajumlisha hata wasioamini hivyo, ila kuna baadhi ya watu wanapenda kuamini hivyo na wanataka ndio iwe hivyo tu.

Hapo nyuma jinsi haya matukio yalivyoelekezwa kwa Magufuli tu na jinsi huyo Magufuli alivyokuwa anaelezewa kuwa ni dikteta na katili ndio maana hayo mauwaji yalikuwa yanatokea kutokana na aina ya kiongozi alivyo na hata alipofariki Magufuli wengine wakasema hayo mambo hayatokuwepo tena Tanzania. Sasa leo Magufuli hayupo ila hayo mauwaji yamerudi tena, ila kama kawaida hao watu wanaendelea kuamini wanavyotaka kuamini wao.
 
Watanzania tuna kumbukumbu ndogo sana. Hii michezo ya maafisa wa vyombo vya dola kushughulikiwa kisa kupishana na chama tawala ulianza tangu awamu ya kwanza, sema kwasababu ya SELECTIVE JUDGMENT and CHERRY-PICKING HISTORY huwa tunamchagua Raisi wa kumchukia na kumpenda.

Ila huu utamaduni umekuwepo muda mrefu sana hapa nchini Tanzania.
Utamadunu wa usio wa kistaarabu hata kidogo.
 
Watu wengi walisema mabaya kwa JPM ila n miaka zaidi ya miwili sasa JPM hayupo ila matendo maovu yanaendelea, ndio tujue JPM hakuwa tatizo bali n mfumo mzima wa serikali.

Haya mambo hata kwa Nyerere yalikuwepo.
Ila Kwa Sasa Rais ndio tatizo? Au ni mfumo?
 
Habari hizi za utekaji nyingi zinayeyuka juu kwa juu.
Watu wa mitandao ndio haswa huzipata,ambapo wengi wao sio wapiga kura.
Uhuni wa aina hii sio rahisi kuifanya serikali ionekane ni mbaya na inaua watu wake.
Maana wapiga kura wengi hawapo mitandaoni.
Me nadhani wabadilishe mbinu tuu.
Hii ilishafeli kitambo,wanaumiza watu buure kama walivyomfanya lissu,wakamtumi kama chambo kisa ni mropokaji lakini haikumpunguzia kitu Magu.
Wazee wa propaganda kaeni mezani muwe mnadrafti mambo kwa akili, style za mauaji ni za miaka ya zamani.
 
Wale wahuni si bado wapo wanafanya hivyo kumfurahisha kiongozi na kumpa taarifa za uongo huyu Mzee asingekua anajulikana ingeishia hewani yule mtoto wa Mbeya kapelekwa mahakamani katoka nasikia katekwa tena..
Kipindi kile walifanya kumfurahisha nani?
 
Back
Top Bottom