Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Vipi mahakama na bunge ambalo lilikataa kuhoji kuhusu utekaji, rais hawezi kukwepa lawama Kama ameshindwa kulindwa uhai wa watanzania Bora akapumzike kimkazi awaachie wenye uwezo wa kuongoza.
Inaumiza zaidi kuona watu potential ndo wanauwawa na kuwaachia wajinga wengi

Wakati wa JPM wafanyabiashara wengi waliopotea

Tutaendele vipi? kama tiss inaratibu kuua watu muhimu kwenye jamii
Ili wajinga ndani ya ccm wasuvive?
 
1).Ni uoga tu. Na kutokujiamini, Wa kupoteza madaraka

2). watu ndani ya vyombo vya usalama wanamdanganya mama ili awategemee kurudi madarakani

3).Wengine wanafanya kumfurahisha wapate vyeo

4). Kuna wanayofanya hujuma ili aonekane ameshindwa ili 2025 aachie ngazi

Lakini vyovyote vile iwavyo kutenda na kuongoza nchi kwa Haki ni thawabu kwa mola Wetu.

Kwa muungwana na mcha mungu Ni Bora kupoteza madaraka kuliko kukumbaia umamafia na ugaidi kwa wananchi wako ili kulinda madaraka
Hii paragraph ya mwisho imemaliza kila kitu.
 
Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua mauaji ya huyu ndugu yetu ni serikali yetu ya mama imeshiriki. Wahuni ni watu wabaya sana wanatumia mbinu zote kumchafua mama lakini mwisho wa yote watashindwa tu. Huu utekaji umeshamiri sasa hivi baada ya wahuni kutimuliwa kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa vile wabongo wengi ni wapumbavu wataamini ni serkali ndio imefanya upuuzi huu.
Ukweli unaujua but ur tyring header to spin...
Watu wachache wasio na vision kwenye serikali ndio wana operates mission mbovu zinazochafua taswira ya Serikali.
Wewe unajua mission pale kwenu inaweza fanywa na baina yenu asijue hata mmoja maana inakuwa ni special mission inayowahusu wachache mno tena wale special and dedicated to kill. (Na wana posho nene) ninyi wenyewe unafahamu hamuaminiani na hamjuani.... maswali machache;
1. Mtu gani au taasisi gan inayomilliki siraha za vita?
2. Ni mtu au taasisi gani zinamiliki land cluser na V8 with non identitification/ un-plated Reg Number, wangepita wapi na jioni ile?
3. Naamini huko walikopita zaid kama walisimamishwa walisema tu "Tuna mission tuache afande, sisi ni askari No. 1 au ss ni wenzenu....
Acha kutufanya wajinga, tuna weredi!!
 
🚮🚮🚮 Ndio maana mnapata laana na mnamponza huyo JPM wenu maana mlianza kumuita Mungu.
Unajua hata waislamu wanaona wakristo wanamuita binaadamu(Yesu) kuwa ni Mungu? Ila mwisho wa siku kila mtu anaamini anachoamini.
 
Wakati yakifanyika yeye akiwepo ni nani alikuwa anafanya? Kwa Sasa ni nani anafanya?
Tuliambiwa kuwa yeye ndio alikuwa anaagiza hayo yafanyike na ni kwa sababu alikuwa dikteta na katili, kwa sasa hatujui ni gaidi na katili gani mwengine mwenye kuagiza hayo.
 
Watanzania tuna kumbukumbu ndogo sana. Hii michezo ya maafisa wa vyombo vya dola kushughulikiwa kisa kupishana na chama tawala ulianza tangu awamu ya kwanza, sema kwasababu ya SELECTIVE JUDGMENT and CHERRY-PICKING HISTORY huwa tunamchagua Raisi wa kumchukia na kumpenda.

Ila huu utamaduni umekuwepo muda mrefu sana hapa nchini Tanzania.
Hiyo enzi ya nyerere ilikuwa inafanyika kwa watu spesho tu ambao walikuwa tishio kwa Taifa kwa mfano mtu akionekana anataka kumpindua Rais ndio anatekwa ukihesabu kwa awamu mbili hawawezi kufika watu watatu tofauti na sasa hivi ambako hata watu ambao hawana nguvu yoyote yaani watu ambao hata kuyaendesha maisha yao bado ni mtihani pia wanatekwa idadi ni kubwa mno kwa sasa haijawahi kutokea kama hivi hadi kupelekea wananchi wote kupata taharuki kama hivi.
 
Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,

Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.


Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.


Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..
Vipi kuhusu silaha nzito unahisi Chadema watazipata wapi?
 
Kama Watanzania uwezo wetu wa kufikiri na kudadavia mambo ndo huu basi hata baada ya miuaka 200 bado tutaendela kuwa wajinga. Eti kwamba DG wa TISS, IGP, DPP, CDF na Rais na vyombo vyake vote hivi hausiki ispokuwa wahuni fulani wa mtaani wanaendeleza utekaji na uuaji bila mama na vyombo vyake hivi kujua na kwamba anachafuliwa tu na hivi vyombo havina uwezo wa kuwajua hao wahuni na hawakamatiki. Are we serious!!!??
Asilimia 60 ya Watanzania ndio wana akili kama hizo wanachojua kujadili kwa ufasaha ni mambo ya mpira/kubeti/umbea,Asilimia 40 wana uwelewa lakini katika hizi asilimia 40 wenye uwelewa(Asilimia 20 wako bize na mambo yao binafsi,Asilimia 20 iliyobaki wanajaribu kupaza sauti ila nguvu haitoshi kutokana na uchache).
Kwa hiyo ulichosema uko sahihi itachukua miaka 200 ili angalau kuwa sawa na Kenya
 
Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua mauaji ya huyu ndugu yetu ni serikali yetu ya mama imeshiriki. Wahuni ni watu wabaya sana wanatumia mbinu zote kumchafua mama lakini mwisho wa yote watashindwa tu. Huu utekaji umeshamiri sasa hivi baada ya wahuni kutimuliwa kwenye baraza la mawaziri. Ila kwa vile wabongo wengi ni wapumbavu wataamini ni serkali ndio imefanya upuuzi huu.
Shutma kama hizi alivishwa JPM na wengi mlisema ni kweli au tuamini pia ilikua ni wahuni kama leo?
 
Huyu Mzee Ali. M. Kibao aliwahi kuwa Mwanajeshi kwa nafasi yenye hadhi kiasi flani. Hakuwa mtu wa mitandao sana. Huwezi msikia akipinga jambo la Serikali au kukemea. Alikuwa silent sana.

Na utekaji wake si kwamba alitafutwa atekwe tu auawe randomly. Hapana. Ni mkakati ambao unaweza kuta hata mle ndani walikuwepo watu kadhaa wakifuatilia nyendo zake.

Ni kwamba alikuwa kwenye list ya wahusika ambao walipata taarifa ambazo zikawafanya watake taarifa zaidi kwa mhusika. Kwa nini?

Ndo sababu ya kumtesa wakitaka kupata taarifa hizo. Aseme kwa kiwango ambacho walihitaji. Na baada ya kukamilisha waliona ni bora wapoteze ushahidi. Amwagiwe tindikali usoni asitambulike.

Kisha tungepata taarifa polisi imeokotwa maiti ya mtu ambaye ni jambazi, alifumaniwa, alienda kwa mganga au mfanyabiashara aliyekuwa na maadui. WATACHUNGUZA ZAIDI. Period.

Lakini Mungu ana namna ya kuwafichua waovu. Kama ambavyo alitekwa yule bwana mdogo ambaye alipigwa risasi kichwani wakamwacha afe. HAKUFA. HE LIVED TO TELL.

Huyu mzee Mungu tu alitaka kuwafunua macho na masikio Watanzania. Kuwa waamke. Maana mtu akipona wanasahau haraka. Labda akifa watashtuka.

Sasa hatujui nini kilikuwa kinatafutwa. Lakini who is next? Na shida ni nini exactly?
Hakuwa na taarifa yoyote mbaya waliyo itaka kwake hi ni basi tu ukishazoea kula nyama ya mtu huachi.
 
Back
Top Bottom