Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Ile ya Mama wa Lupaso inajulikana kwa riba kubwa na hamna kitu itafanywa.
kwani ulilazimishwa kukopa? hilo ndo tatizo la kutokusoma miongozo ya hizo taasisi alafu unakopa baadae unakuja kulialia
zinatakiwa zisusiwe zisipate wateja uone kama hawatafuata muongozo wa serikali uliowekwa, wananchi kuendelea kuzifuata kwa ajili ya kupata mikopo ndo zinazidi kujimwambafaiTunataka zikopeshe lakini kwa kufuata muongozo wa Bank kuu.
zinatakiwa zisusiwe zisipate wateja uone kama hawatafuata muongozo wa serikali uliowekwa, wananchi kuendelea kuzifuata kwa ajili ya kupata mikopo ndo zinazidi kujimwambafai
naijua shida inavyotesa na kuumiza, hivyo vitaasisi vilivyovingi havijasahiliwa ndo mana vinafanya hivyo.Hujawahi kupata shida, mkeo anahitaji kufanyiwa upasuaji, au mwanao karudishwa shule, unadhani utakuwa na huo ujasiri wa kususa?? Utakuja ujue baada ya kutoka kwenye shida.
Serikali ndo mlinzi wa wenye nacho na wasio nacho.
Hongera br. Mbungo
Weka jina hapa.
1. Bayport
2.