Ni taasisi ipi ya kifedha ambayo imekuumiza wewe, ndugu yako au Mtanzania mwenzako kwa mikopo yenye riba kubwa?

kwani ulilazimishwa kukopa? hilo ndo tatizo la kutokusoma miongozo ya hizo taasisi alafu unakopa baadae unakuja kulialia
Hata kama hakulazimishwa lakini riba ziko kisheria haujipangii tu wewe.
 
Wanatanzania wengi ni matapeli, wanaenda kukopa lakini wakiwa na lengo la kutapeli, wakiisha chukua mikopo na kutumia fedha huanza kulala mika, makampuni yakianza kuwadai marejesho utasikia. Ooohh, riba Kubwa, ohhhh, hawana kibari cha benki kuuu, oohhh, hawana utu,

Ifahamike kwamba tasisi hizi zinasaidia kuondoa umasikini kwa wananchi. Lakini wananchi wamekuwa wakikimbilia Takukuru kutoa malalamiko yao. Kama kweli hawafati taratibu kwa nini hawaendi mahakamani kwenye sheria imebaki kwenda Takukuru?

Tufike mahali wanzania tuwe walipaji kuliko kulalamika baada ya kukopa

Naomba kuwasilisha.
 
Bayport hiii taasisi serikali iiangalie inawapiga Sana watumishi wa umma jaman
 
Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.

Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje hapa kwa jina, na mkoa, hii itasaidia TAKUKURU kufatilia taasisi hizo.
Beyport hii taasisi wansumiza sana mtu unakopa unarudisha mara mbili ya pesa ulokopa,haifai kabisa
 
Bay port ya dar hawa ni matapeli kabisa
 
Beyport hii taasisi wansumiza sana mtu unakopa unarudisha mara mbili ya pesa ulokopa,haifai kabisa
Bayport au Platinum Credit ni Microfinance, usikope mkopo wa muda mrefu Kwasababu tu eti wana masharti nafuu na mikopo yao ni faster.

Hizo ni taasisi kwaajili ya Mikopo ya dharula tu.
 
Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.

Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje hapa kwa jina, na mkoa, hii itasaidia TAKUKURU kufatilia taasisi hizo.
Wewe ni mfanyakazi wa TAKUKURU?
 
Back
Top Bottom